zinagongana both mfumo vs nje ya mfumo, hizo ni immediately lazima action ifanyike either yeye au wasaidizi wake. Kwa ufupi taarifa zinapatikana ila utekelezaji unategemeana na ukubwa taarifa, ila utekelezaji wowote lazima unakuwa ktk mfumo rasmi.
Ni mtazamo niliofikiria.
nachofahamu ni taasisi ila ana mfumo wake wa nje unaoweza kumpa ground info zikoje tofauti na ule unaotambulika mf: we hapo ni msanii una meneja na baadhi ya viongozi wanaosimamia show zako, wanaweza wakakupa +ve /-ve details ila hawajui km mke,watt, washkaji wa karibu wanaweza
Hii msinipike, tutafakari tu kistaarabu kwasababu hata mimi imenifikirisha kidogo.
Nilikuwa najadili mambo kadhaa ya nchini na rafiki yangu wa karibu sana.
Tukafika kwenye point ya
“Response ya Rais kwenye hizi ongoing issues za siasa”
Rafiki anasema hivi…..
Rais ni taasisi, Sio one man army show!!
Tunapotoa malalamiko yetu hasa mitandaoni, huwa tunayatoa kwa imagination kuwa Rais anayasoma na anayaona!!
TunapomTag kwenye account yake tunaamini yanamfikia na yeye anayasoma.
Yaani akili zinatuaminisha kuwa Rais anaona kinachoendelea kama wengine wanavyoona!!
Hatuwazi kama Rais ana mengi kwa plate yake, ana jumbe nyingi za dunia nzima mezani kwake!!
Mbali na ya nchini kwake anatakiwa ajue dunia inaendaje, Italy kukoje? Uganda kuna nini? Vietnam,Russia,Mexico,Haiti, Ghana nini kinaendelea etc!
Kiasi kwamba haipati nafasi ya kiasi hicho kuona nini raia wanaongea twitter, na hata akiipata sio kwa uzingatiaji huo ambao sisi tuna uimagine anauweka, kwasababu mezani kwake kuna files nyingi. Ndio maana anaweka wasaidizi.
Akiwa yuko letsay Usa kwenye mkutano wa marais wote, huku sinza kuna mtu asie na hatia anauliwa, homa inakuwa kubwa mtaani na mtandaoni lakini mamlaka alizoweka hazimpi feedback ya ukweli hivyo anaona kuko shwari tu au homa sio kubwa kiivo anaendeleaa na kazi.
Na ndomana akija kutoa speech anaitoa kinyume na expectations zetu, speech asali wakati kinachoendelea shubiri.
Finally anakuwa havai viatu vyetu kiivyo!
Taasisi zake ndio zinampelekea feedback ya yanayoendelea….Sasa hawa ndio vichomi!
Wanampa feedback za uwongo kuwa hali iko shwari kabisa, ni vishida vidogo vidogo tu na tumevidhibiti tayari.
Hawampi ukweli wa ile homa ilivyo mtaani kwa ground!!
Inawezekana habari anazipata lakini hazipati ktk ile hali ya uhalisia ulivo, na wanafanya hivo waliomzunguka.
Ndiyo maana reaction yake haifanani na expectations zetu.
Jamaa alimaliza kwa kusema hata accounts za social media hazirun yeye.
Binafsi nimembishia rafiki, nimekataa hoja yake……lakini nimebaki mwenyewe hapa naitafakari sana🤔
WEWE UNAONAJE?
itakubidi ww uanze kuzifanyia kazi ama kutozifanyia kulingana na unavyoguswa either yeye au atume wasaidizi wake wazifanyie kazi.
So impact ya tatizo liwe +ve or -ve linabakia Kwa mhusika kulingana na taarifa alizopewa both (kwny mfumo au nje ya mfumo) na kuna taarifa
Kila taasisi /nchi ina miongozo na utaratibu wa kuongoza jamii yake na si vile unavyotaka ww. Vyema ukajifunza na kuelewa taratibu za eneo ama taasisi husika. Naimani utakuwa umeelewa angalau kidogo kila taasisi ina demokrasia ktk zile nchi zenye demokrasia, ndo maana uhuru upo
Naomba nikujibu kwa niaba ya rafiki yako, kwa kupitia Kanisa Katoliki kama ifuatavyo:-
Askofu hachaguliwi bal anateuliwa kulingana na taratibu za kanisa kama ilivyo rais anavyowateua watendaj wake (hawachaguliwi) wala hakuna oda toka mahala popote zaid ya utaratibu unaomuelekeza
Baadhi ya maaskofu wamekumbwa na upofu wa madaraka?
Jana tulikuwa na mjadala wa Kanisa linaendeshwa Kidemokrasia au Kidikteta? Rafiki yangu mmoja akasema linaendeshwa kidemokrasia. Nikamuuliza Askofu anachaguliwa na waumini au ni kwa oda kutoka Roma? Kimya. Je Askofu anawajibishwa na nani? Kimya! Nikamuuliza tena, unapeleka michango kanisani kujenga mahospitali na shule lakini hupangi bei za huduma zake na ukipata shida kama huna pesa hutibiwi. Hiyo ni demokrasia? Kimya!
Nikahoji tena, mnaonaje Kanisa likaanza kwa kuhimizi demokrasia na mabadiliko ndani ya Kanisa kabla ya kutoka nje ikiwemo baadhi ya maaskofu kuacha kuwa miungu watu? Nikaona ukimya umezidi nikaamua niishie hapo. Nadhani wenzangu wanaogopa wanaweza kutengwa na kanisa kwa kushiriki mjadala kama ule. Tena wanaweza kutengwa bila hata kupewa nafasi ya kujitetea. Kidikteta. Ama la wakapige magoti na kubusu pete wapate msamaha.
Wewe mwenye huwezi kufanya kazi bure ushindwe kuhidumia familia yako kisa unalipa kodi au unachangia michango ya kimaendeleo.
Acha fikra potovu na upotoshaji, hebu fanya upembuzi yakinifu kabla hujaleta taarifa zako kwa mitandao ya kijamii.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.
Amesema “Hakuna mtu mwenye uwezo wa kudhibiti uchaguzi , pale CHADEMA hakuna hata wapiga kura milioni tano huwezi ukawambia Wazunguke Mikoani wakatafute saini milioni 15 , hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nawala hawana pesa zakuzunguka kwenye mikoa kufanya Mikutano ya hadhara ,”
Hanje pia ameipongeza serikali kwa udhibiti wake wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya, akiiomba kuendeleza jitihada za uthibiti wa dawa hizo kutokana na madhara yake makubwa katila kuua nguvu kazi ya Vijama wa Kitanzania.