@eastafricatv Elimu ni muhimu sana Kwa dereva hasa Kwa nyakati kama hizi,uzoefu pekee hautoshi lazima uongezewe maarifa,naunga mkono serikali kwenye suala hili.Elimu pekee ndio itafanya sekta ya udereva kuheshimika kama madereva watapita shule
@Mvungo47 Iran Hana sababu ya kutumia Nyukila kupiga Kijiji Cha Israeli, Ballistic missiles za Fattah 2,Kheiber Shekhan,Khadir,Khorramshar,na Drone za Shahed, Khadir hizo chache ni zaidi ya Nyuklia,huyo Mzee Netanyahu kichwa chake kibovu
@VungaEl74 Habari za vichochoroni hizo,hakuna mazungumzo yoyote, Sisi tunamsubiri huyo Mzee wa kisiwani hata akirusha tu jiwe ndani ya Iran atakutana na moto mkubwa unamsubiri ndio maana Kila siku anaomba mazungumzo
@VungaEl74 Mzee wa kisiwani kapima maji kaona marefu kaingia mitini baada ya Jana Iran kupiga kambi ya Jordan na kuteketeza ndege 17 za F35 na kuzifanya chuma https://t.co/SAQzShp1GT Hormuz Bado ipo closed
@VungaEl74 Toka Sisi Iran tulivyompa onyo Netanyahu kwamba hata akirusha jiwe kwenda Beirut,tutashusha moto mkali ndani ya Israeli,kaamua kutulia,mpk sasa hakuna stori za Mzee wa kisiwani wala Netanyahu aliyenyanyua mdomo kuongea ,mpk Sasa hivi umebadilisha story
@VungaEl74 Anawapa fact hao mzee wa kisiwani na mwenzake wa kwenye bunkers kuwa hawana nafasi Tena mashariki ya kati kwani Kambi zao za kijeshi muda wowote zinageuka majivu,
@VungaEl74 Kwako ww ndio unaona muhimu ksb mitandao hii ndio inayotumika kukujaza ww akili za kijinga kuwa Marekani ndio Taifa lenye nguvu za kijeshi Duniani wakati hali halisi ni jeshi dhaifu na linatumia mbinu za zamani sana,Walitandikwa na wahouth wa Yemen mpk wakakimbia
@VungaEl74 Jeshi Bora duniani Kwa Sasa hivi ni IRGC kwa kutengeneza makombora mazito yasiyozuilika na mifumo yoyote ya ulinzi wa anga na kulenga shabaha kwa usahihi mkubwa, Marekani wenyewe wamethibitisha hilo
@VungaEl74 Huyo Mzee wa kisiwani anatishia kujamba wakati anaharisha,sisi tunamtaka aje hata Sasa hivi tumtandike vzr,maana kipondo Cha Sasa hivi hatasahau ktk maisha yake