System haikubali creative minds.
Inataka utulie, ufuate ratiba, upokee mshahara.
But that doesn’t work for everyone.
Wengine wana akili za kujenga vitu vikubwa kuliko job descriptions.
Don’t apologize for that.
Find your lane and dominate it.
Katika maisha yako usisahau kuombea aina hizi 3 za watu ili uwe nao:
1) WATAKAOKUTAMBULISHA: Hawa wanatumia jina/umaarufu/Nafasi zao kukutambulisha ili UKUBALIKE. HESHIMA na JINA lao ndio linakufanya ukubalike kwa VIWANGO ambavyo ungechukua muda kukubalika.
2) WANAOKUUNGANISHA: Hawa wana NGUVU za kukutanisha na watu ambao watakupa msaada MKUBWA/HARAKA ili kuharakisha safari yako.Ungewatafuta wewe USINGEKUTANA nao/ingechukua MUDA MREFU KUWAPATA.
3) WANAOKUPA RASILIMALI: Mungu anaweka ndani yao MOYO wa kukusaidia KIFEDHA, MALI, MTAJI au VIFAA unavyohitaji. Wanakupa na HAWAKUTESI wala KUKUSIMANGA.
Usiache Kuomba🙏