كن متواضعًا، لن تتألق للأبد.
Kuwa mnyenyekevu. Hutong'aa kila siku.
• Leo una mali, kesho zitaisha.
• Leo una afya, kesho utaumwa.
• Leo unaishi, kesho utakufa.
KWA NINI MWANAMKE ADATE NA MIMI.?
- Natoa girlfriend Allowance 50k per day
- Natoa period Allowance kila mwezi 50k pamoja na zawadi
- Namlipia Nauli ya ndege mkoa wowote au nchi yoyote anayotaka kwenda.
- Pesa ya kusuka natoa 140k kila akitaka kusuka
- Namlipia gym cost zote
Wenye visu vikali ndio tunakula nyama ✍️✍️
TAFAKARI
KUJIKINGA NA MADHAMBI
Amesema Sheikh Abdul razaaq Al-badri Allah amhifadhi :
أرأيتم لو أنَّ شخصًا اشتد به الجوع وُضع بين يديه طعام شهي ومدَّ يده ليطعم منه فقيل له:
Mnaonaje lau mtu aliezidiwa na njaa , pakawekwa chakula kitamu mbele yake akanyanyua mkono wake aweze kula kisha akaelezwa :
إنَّه مسموم إن أكلْتَ منه ضرَّك أو أهلكك ، أيضعُ يده فيه أو يكفَّها ؟
Chakula hiki kina sumu ukila kitakudhuru au kukuangamiza , je ataweka mkono wake katika chakula hicho au ataacha ? ( bila ya shaka atakiacha )
فسبحان الله !! كيف يتجنَّب طعاماً خوف م��رته !! ولا يتجنب الذنوب خوف عقوبتها هدانا الله.
Subhaana Allah!! vipi ( Mtu ) anajiepusha na chakula kwa kukhofia madhara yake na wala hajiepushi na madhambi kwa kukhofia adhabu zake ? Allah atuongoze
Nimesema :
Naam tunatamani kuyafanya madhambi na huku tumekwisha elezwa madhara yake je hatuzikhofii nafsi zetu katika hili ?
tunapoingia katika kutamani kufanya maasi tukumbuke mwisho wake mbaya tukumbuke adhabu zake pia huenda ikawa kinga ya sisi kuingia katika madhambi
Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allah Amhifadhi
Have you ever had a canker sore?
These tiny but mighty mouth ulcers can cause you real pain!
They are common, but what causes them?, and how can you prevent them?
🔑 What are Canker sores?
Also known as aphthous ulcers, they are small, shallow lesions that develop on the soft tissues in your mouth or at the base of your gums. They're not contagious.
Continue in my comments below 👇🏾
NGUVU ISIYO'ONEKANA.
Kuna mtu mahali fulani, mwenye umri kama wako, ambaye leo ndiyo siku yake ya mwisho hapa duniani. Wakati wewe unaendelea na siku yako kama kawaida, yeye anatamani hata dakika chache zaidi, muda ambao wewe bado unayo.
A BEAUTIFUL THREAD 🧵
Nimetambua kuna hasara katika kupata exposure kupita kiasi.
Kijijini watu wanafurahi na kuanzisha familia kwa rasilimali chache walizonazo.
Kwa wengine hasa waliokulia au wanaoishi mjini, elimu bora, nyumba kubwa, kazi nzuri;
→ More:⤵️
Miezi sita ya umakini mkali inatosha kurekebisha makosa ya miaka mitano.
Unapunguza kelele.
Unaondoa vitu visivyo na maana.
Unaweka ratiba.
Unafuata mpango mmoja hadi mwisho.
Unarekebisha nidhamu ya pesa.
Unadhibiti muda wako.
Unachagua watu wachache sahihi.
→ More:⤵️
Nimefika hatua ya kukubali ukweli mmoja. Sina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Nimejifunza kutotegemea watu. Mara nyingi nasonga peke yangu.
Hata moyo unapojawa na woga na wasiwasi, siombi mtu anisindikize.
Nimezoea kubeba mzigo wangu mwenyewe.
→ UZI:⤵️
Kwa kila mwanaume anayepigana vita vya kimya kimya, nakuunga mkono. Endelea kuwa imara kaka.
KAKA. SOMA UZI HUU TARATIBU.
Sijui yote unayopitia.
→ UZI:⤵️
MADA YA 63: (TAWHEED)
HATARI YA SHIRKI
Utangulizi:
Shirki ni kinyume cha Tawheed. Ni kumpa mshirika Allah katika mambo yanayomhusu Yeye pekee, kama ibada, uungu, majina na sifa, au mamlaka ya kutawala na kuamrisha. Katika Uisilamu, shirki ndiyo dhambi kubwa kuliko zote, na hatari yake ni kubwa mno kwa maisha ya mtu duniani na Akhera.
1. Shirki Haisamehewi Ikiwa Hakufanya Toba kabla ya kifo
Allah amesema:
﴿ إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَنْ يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَنْ يَشَاءُ ﴾
(An-Nisaa: 48)
Aya hii inaonyesha wazi kuwa:
- Dhambi zote zinaweza kusamehewa
- Lakini shirki haisamehewi mtu akifa bila kutubu
- Hii inaonyesha uzito na hatari ya shirki katika Aqeedah ya Kiisilamu.
2. Shirki Huharibu Matendo Yote Mema
Allah amesema:
﴿ وَلَوْ أَشْرَكُوا لَحَبِطَ عَنْهُمْ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴾
(Al-An‘aam: 88)
Hata kama mtu:
- Anaswali
- Anafunga
- Anahiji
- Anatoa sadaka
Matendo hayo yote hubatilika yakichanganywa na shirki.
3. Shirki Humpeleka Mtu Motoni Milele (Ikiwa ni Shirki Kubwa)
Allah amesema:
﴿ إِنَّهُ مَنْ يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ حَرَّمَ اللَّهُ عَلَيْهِ الْجَنَّةَ وَمَأْوَاهُ النَّارُ ﴾
(Al-Maa’idah: 72)
Hii ni hukumu kali:
- Pepo huharamishwa Kwa aliyekufa na shirk bila toba.
- Motoni huwa Makazi yake ya kudumu,Ikiwa mtu amekufa juu ya shirki kubwa bila toba
4. Shirki ni Dhulma Kubwa Zaidi
Allah anasema:
﴿ إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيمٌ ﴾
(Luqmaan: 13)
Shirki ni dhulma kubwa kwa sababu:
Ni kumpa kiumbe haki ya Muumba
Ni kuvunja haki kuu ya Allah juu ya waja Wake
Mtume ﷺ amesema:
“Haki ya Allah juu ya waja ni wamwabudu Yeye pekee wala wasimshirikishe na chochote.”
(Bukhari na Muslim).
5. Shirki Huondoa Ulinzi, Baraka na Msaada wa Allah
Mtu mwenye kufanya shirki:
- Hukosa baraka katika maisha
- Hukosa msaada wa Allah
- Hupoteza ulinzi wa kiroho na kimaisha
Allah amesema:
﴿ وَمَنْ يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَكَأَنَّمَا خَرَّ مِنَ السَّمَاءِ ﴾
(Al-Hajj: 31)
Hii ni taswira ya kuangamia kwa mshirikina.
6. Aina za Shirki (Kwa Ufupi)
( 1 )Shirki Kubwa (الشرك الأكبر)
Humtoa mtu nje ya Uisilamu, mfano:
- Kuomba kwa wafu, majini, masanamu
- Kuchinja kwa asiyekuwa Allah
- Kuomba msaada wa ghaibu kwa kiumbe
- Kuamini kuna anayejua ghaibu kama Allah
( 2 )Shirki Ndogo (الشرك الأصغر)
Haimtoi mtu nje ya Uislamu lakini ni hatari sana Mfano:
- Riya (kuonyesha ibada)
- Kuapa kwa asiye Allah
Mtume ﷺ amesema:
“Kitu ninachokihofia zaidi kwenu ni shirki ndogo.”...
Akasema: “Ni riya.”
(Ahmad)
7. Njia za Kujilinda na Shirki
1. Kujifunza Tawheed kwa usahihi.
2. Kumuabudu Allah kwa ikhlaasi
3. Kuepuka bid‘ah, ukhurafi na ushirikina
4. Kujiepusha na:
- Hirizi
- Ramli
- Waganga wa kishirikina/waganga wa jadi(wapiga ramli.
5. Kusoma dua ya Mtume ﷺ:
“Allahumma inniy a‘udhu bika an ushrika bika shay’an wa anaa a‘lam, wa astaghfiruka limaa laa a‘lam.”
(Ahmad)
Hitimisho:-
Shirki ni adui mkubwa wa Tawheed na ndiyo sababu kuu ya kuangamia kwa watu wengi wa zamani na wa leo.
Muisilamu wa kweli hana jukumu kubwa zaidi kuliko:
- Kulinda Tawheed yake
- Kujiepusha na shirki kwa aina zake zote
Kwa sababu:
- Tawheed huokoa
- Shirki huangamiza
والله أعلم
1. Battle of Badr
Muslims: 313
Quraysh: 950–1000
2. Battle of Uhud
Muslims: 700
Quraysh: 3000
3. Battle of Khandaq (Ahzab)
Muslims: 3000
Quraysh & Allies: ~10,000
4. Battle of Mu’ta
Muslims: ~3000
Romans & Ghassanids: ~200,000
5. Battle of Hunayn
Muslims: 12,000
Hawazin & Thaqif: ~20,000
6. Battle of Yarmouk
Muslims: ~40,000
Romans: ~200,000
7. Battle of Qadisiyyah
Muslims: ~30,000
Sassanids: 120,000+
8. Battle of Nahavand
Muslims: ~30,000
Persians: ~150,000
9. Conquest of al-Andalus
Muslims: 12,000
Visigoths: ~100,000
“How many a small group has overcome a mighty army by Allah’s permission. And Allah is with the patient.”
— Surah al-Baqarah (2:249)
Weka orodha ya
- Vitu unavyotaka kufanikiwa
- Watu unaotaka kuonana nao
- Miji unayotaka kutembelea
- Vitabu unavyotaka kusoma
- Skills unazotaka kuwa nazo
Anza kuvifanyia kazi kila kimoja kwa hatua. Tengeneza vision board kila mwaka ili uone mwelekeo wako.