80% ya vijana kati ya miaka 16-24 hukopa kutoka kwa familia na marafiki. Ni vikwazo gani katika taasisi za kifedha vinavyosababisha hali hii?
Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, soma jadala la FinSights Lab: https://t.co/UGJYa0SRtf
Msimu wa pili wa tamthilia ya IBUA unaanza rasmi Jumatatu 31 Agosti, saa 9 mchana. Kama ulikosa msimu wa kwanza, usihofu, wiki hii nzima ni ya kwako. Tazama episode 5 ya Msimu wa kwanza kujikumbushia: @SMART_Me_tz@smartclasstz@FeminaHip@cloudsmedialive
Msimu wa pili wa tamthilia ya IBUA unaanza rasmi Jumatatu 31 Agosti, saa 9 mchana. Kama ulikosa msimu wa kwanza, usihofu, hii wikiendi ni ya kwako. Tazama episode 5 ya Msimu wa kwanza kujikumbushia:
Learn more about innovating for investments. Join us tomorrow as we link up with @HDIFtz and @ATraderTZ for a session on savings and investments. Register to join us by following the link on the ad.
Research has even shown that students are more likely to drop out of school because of “outside pressures” than poor grades. Student success is no longer constrained to classrooms or defined by academic performance alone.
#needforfinancialliteracy
Our team is dedicated to work like pro even when our dreams comes true, we will never cease.
Visible results is our key motivation, well organised team, and like minded young leaders passionated to drive changes in our communities.