Hii ni Solar Motion Sensor alarm!
Faida kubwa hii Alarm itakupa ni
Kile kitendo MWIZI kaingia eneo husika
Kingora kitapiga!
Inatumia: Solar pia umeme kucharge.
Itakufaa: Nje ndani ya fensi, Ya nyumba au Stoo/Godown lako
Bei ya leo @ TZS 50,000/-
0767875010
Kheri ya Sikukuu ya Mawlid al-Nabi kwenu nyote. Siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) ikawe pia siku ya tafakari na juhudi, kuendeleza nia yetu ya kila wakati ya kukusudia kuzaliwa upya kwenye matendo yetu.
Iwe tafakari na bidii ya kuendelea kuzaliwa upya katika kuboresha mahusiano yetu na Mwenyezi Mungu, mahusiano yetu na binadamu wenzetu, na majukumu yetu kwa wenzetu, nchi yetu na Muumba wetu.
Matokeo ya nia na juhudi katika mambo haya muhimu kwa kila mmoja wetu, yataendelea kutupa nchi yenye kupiga hatua kimaendeleo, nchi salama, yenye uadilifu, yenye amani, umoja na mshikamano.
#MaulidNabiMuhammadSAW
@mzeewakaliua Save Luku/Umeme hapo kwako weka hii Bulb motion sensor, haiwaki kama haija detect movement ,inafaa chooni/bafuni @Tzs 12,500/- https://t.co/WDyjOi7RmR
Kwenye comment mnaongea shombo sana but makampuni makubwa yanawachukua kama interns na hampati hata 30k nauli. Tulieni kijana atoe ajire. Ukiona wewe ni juu kausha achia wenyine kiroho safi 😎🤌🏽