#THEKINGOFNEWGENERATION Mambo vip...!
Najua umemiss Burudani yangu Tafadhari Kaa Attention Muda Wowote Kuanzia sasa Naachia Ngoma Kubwa Kuwahi Tokea #TUMEWATUMEWASHA Sasa Kazi Kwako.
Ila Tuongee Ukweli Tu...!Katika Muziki Wa Bongoflavour Ukiacha wasanii woote unaowajua @diamondplatnumz Ni The King Of New Generation Kubali au Ukatae Itabaki kuwa Hivyo
#Thekingofnewgeneration
@BahatiKenya@diamondplatnumz Wewe ni mtu Wa watu unamoyo wa kujali na Ubagui nani wakumsaidia Awe Mdogo mkubwa au mfupi Mrefu wala Mnene Mwembamba Naomba support yako kwangu
@diamondplatnumz Nafanya Muziki kwa kupambana Sana najitoa kimasomaso nahatarisha Misha yangu Nimekosana Na ndugu Na jamaa zangu kwasabab ya Muziki lakin bado nazidi pambana Tafadhari Nisaidie