@privaldinho Yanga wamepata garasa ,sasa rekodi inakusaidia nn kwenye msimu tuliopo? Ulikuwa na mechi 2 mkononi tofauti ya 14 pts na hao unaowadhihaki ,Leo umekula wiki na umebaki na mechi 1 nayo hatujui matokeo hlf unaleta historia sasa sijui historia ndio point 3 ?.#Loser
@privaldinho@TZSportPesa Am speechless ,nilifikiri tasnia ya mpira umepata watu tena vijana lkn kwa hii tweet mimekuvua https://t.co/zkVeCAIo37 na ww ndio wale wanaoamini baada ya added time hata upoteze muda vipii refa hawezi kufidia? ๐๐๐
#EASTER s the time to REJOICE and be THANKFUL for the GIFT of Life,Love & Joy ๐
#Happy Easter Holiday fam @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/NG60oa3Ft0