Upande wa Jamhuri umefunga ushahidi wao kwa Shahidi wa 17 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Akizungumza leo Agosti 17, 2026 Mahakamani, Wakili wa Serikali Mkuu Nassor Katuga amesema msimamo huo umefikiwa baada ya Jamhuri kufanya tathmini ya kina ya ushahidi na hoja zote zilizowasilishwa katika kesi hiyo.
Hata hivyo, Katuga ameomba Mahakama iruhusu Jamhuri kuwasilisha hoja za ziada kueleza sababu zinazowafanya waone Lissu ana kesi ya kujibu, ombi ambalo Lissu amepinga akieleza kuwa sheria tayari inaweka utaratibu unaopaswa kufuatwa katika hatua hiyo.
Iwapo Mahakama itaamua kuwa Lissu ana kesi ya kujibu, atapewa nafasi ya kuanza kujitetea kwa kuwasilisha ushahidi na Mashahidi wake na endapo Mahakama itaamua kuwa hana kesi ya kujibu, kesi hiyo itafikia mwisho.
Kesi hiyo inaendelea mbele ya jopo la Majaji watatu likiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru.
#MillardAyoUPDATES
π¨CHIMBO LETUπ΅
Suruali za kitambaa kwa 10k tuβ¦
Zmenyooka sanaπ₯π₯πͺπ½
Naomba RT yako tu boss wanguππ½ ili wengi walione chimboπͺπ½#TupendezeWoteπ₯
Amesimamisha AFRICA MASHARIKI.π₯π₯π₯π₯
Maria Kapatikana.π¨π¨π¨π¨
Nikaangalie mikeka yangu sasa.π₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ«΅πΎπ«΅πΎπ«΅πΎπ«΅πΎπ«΅πΎ
Miezi miwili iliyopita hawa Wanaume wawili wanaoonekana kwenye hii video ya CCTV
Walienda ofsini kwa @MariaSTsehai kumuulizia walijitambulisha kwamba wanatoka ofisi ya @DCI_Kenya.
Tunaweza kuanzia hapa.
REPOST π₯π₯π₯π₯π₯π₯