π¦
Ukipata changamoto Usiwahi Kuwambia "Wazazi Wako Au Watu Wanaokupenda Kweli"
Kwa Sababu Wao Huumia Mara Mbili Yako
Na Ukipata Jambo La Kheri Watu Wa Kwanza Kuwaambia
Ni "Wazazi Wako Na Watu Wanaokupenda Kweli"
Kwa Sababu Wao Ndio Hufurahia Zaidi Kuliko Mtu Yoyote π€.
π§
π
Ukipewa MCHONGO Na MWANA Basi Hakikisha Huleti USHIKAJI Na UWANA Kwenye Kazi Yake Ifanye Vizuri Na Kwa Wakati Na Uaminifu!.
Na Wewe Uliyetoa MCHONGO Kwa MWANAO Hakikisha Huleti USHIKAJI NA UWANA Kwenye MALIPO!.π
WATU WAMEWEKEZA NGUVU NA AKILI!.
WATU WAMEKEZA HELA NA MDA!!..
π
Hivi Jamani Hizi SEHEMU Ambazo Tunaenda KUBURUDIKA,KULA Na KUNYWA,
VINAFUNDISHA "WAHUDUMU" Kwamba MTEJA Anatakiwa AOMBE Kila KITU?
Yaan Aombe Aletewe CHAKULA, Aombe MAJI Ya Kunawa,
Aombe TOOTHPICK,
Aombe TISSUE,Aombe BILL,
Na Akilipa Hataletewa CHENCHI Mpaka AOMBE.
βΌοΈ
π€
π
Ukiwa kwa MAMA Anakwambia "OA Ndio Ufanye UNACHOTAKA Ukiwa KWAKO"
Ukiwa KWAKO MKE Anakwambia "Huwezi Kufanya Unavyotaka Hapa Sio Kwa MAMA YAKO.
βΌοΈ
π
π
Kuna WAKATI Inabidi Kuchukua "LIKIZO" Ya MAHUSIANO.
Kaa UPUMUE Kwanza,
Ujipe Pole.
SAFIR, Fanya Mambo Ya KUFURAHISHA Nafsi YAKO.
Ukiamua Kuingia Kwenye UHUSIANO Mpya,
Uingie Ukiwa Kwenye Hali Ya UTULIVU Wa NAFSI.
Hapo Ni Ngumu Kumkubali MTU Atakaye Kutibulia AMANI YAKO.
βΌοΈ
π
Ukishakuwa MTU MZIMA Na Una SHUGHUL Ya Kufanya UKISAFIR Kwenda PAHALA Usipende Kufikia Kwa NDUGU.
Nenda Tafuta HOTEL Fanya Mambo Yako Halafu Kwa Ndugu Utaenda KUWASALIM Na KUONDOKA.
WATU WANA MAISHA YAO NA BAJET ZAO,
Ya Nn Ukawape MZIGO?
FANYA HIVYO UNAPOKUWA UMEKWAMA KABISA.
π
Unapokuwa Kwenye MAHUSIANO Na MTU (MAPENZI) Jitahidil Sana KUTO-SURRENDER UHURU Wako BINAFS,
Badala Ya Kufurahia MAISHA Utageuka MTUMWA Na MAHUSIANO YATAKUTESA,
WEWE (AS An INDIVIDUAL) Unayo MAISHA Yako BINAFS Ambayo HAYAHUSISHI UHUSIANO ULIONAO.
MAISHA N FURAHA USIJIBANE.
π»
π
Kuna "UMRI" Ukifika WATU Wanakosa USAJILI Wa KUKUAMBIA Moja Kwa Moja.
USIPOJIONGEZA Ukajua KINACHOTARAJIWA Kwako UTAWAJIBISHWA Kwa "USICHOAMBIWA"!..
βΌοΈ
π
Tunalea KIZAZI Ambacho
UKIMNYIMA Muunganiko Wa HISIA,
Ukampa UHAKIKA Wa UFUNDI Wa NGONO Anachagua NGONO
Hata AKIKOSA Uhakika Wa MAHUSIANO Ya KUDUMU.
JITIHADA Zozote Za KUDUMISHA MAHUSIANO Bila NGONO Inaonekana Ni MZAHA Na NDOTO Za ABUNUWASI.
HUZUNI KWAKWELIβΌοΈ
π
π
Tunalea KIZAZI Ambacho UKIMNYIMA MTU MUDA Wako Ukampa PESA Anaamini UNAMPENDA,
Hata Kama UTAMUONDOA Kabisa Kwenye RATIBA Zako.
Ukimpa MTU MUDA Wako,USIKIVU,Ukawekeza Kwenye MAHUSIANO,
Lakini Usiwe Na PESA MTU Anaona UNAMCHOSHA.
π