@kilundeezy Vijana wa zamani wamepigwa sana hivi na mama zao ndo mana wengi now akili zimeyumba madishi sana ila watasema ndo tulikuwa hivi, Wazungu wanalea watoto ata fimbo hamna na ndo wako mbele ya mudaπ π π Sie na kupigwa lakini wapi...hii ni VAC ya hali ya juu