Msikilize Gharib Mzinga akitangaza goal la Chama jana🔥🔥🔥
Kuna wachezaji wa kutokea lakini siyo chama ni makosa makubwa kwa magoalkeeper Hata Diara alitokea😂😂🫵
Downloaded By @vidosave
SERIKALI KUMPATIA URAIA CHAMA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema serikali imeanza kuona taratibu za kumpatia uraia kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la Tanzania.
Akizungumza katika usiku wa Tuzo za BMT 2025, Makonda alisema kiwango alichoonyesha Chama, ikiwemo bao lake la hivi karibuni, kimeongeza hoja ya kumtaka achezee Taifa Stars.
Paul Makonda
"Kwa lile goli la juzi, wizara imeanza mchakato wa kuona taratibu za kumpatia uraia Chama ili kuongeza uwezo wa timu yetu ya taifa,”
APEWE AU ASIPEWE???