●Mnaomtetea yule nesi aliyekuwa analazimisha vipimo vilivyoisha mda vya malaria MRDT vitumike kwa w/wake wajawazito kisa tu karekodiwa ni wapumbavu na wauawaji wakubwa.
●Huyo nesi sio tu kwa kiburi na dharau zake kahatarisha afya ya mama bali pia uhai wa mtoto.
@mboni_sir@Usalama_W_Taifa Mbowe ndiye ako moral siyo⁉️ ,huyo huyo mbowe ndiye alisema lowasa ni fisadi, ila ndiyo yeye aliuza ticket ya urais ya Dk slaa akamuuzia LOWASA! nyie mlitaka aunge mkono huo upuuzi wa mbowe! Kila mtu alichagua lake, chadema ni kikundi cha mbowe na maslahi yake nyie mtulie.
Huyu ni mmoja wetu tu ,tuko wengi,ng'ombe zinapigwa mnada ,mali zetu zimegeuzwa kitega uchumi cha serikali dear mheshimiwa @SuluhuSamia wafugaji tumekosa nini serikali yako ! Je sheria kandamizi ulizosema ziondolewe je ni kwa wanasiasa tu! Je mwananchi wa kawaida nani mwokozi ⁉️
@fatma_karume Hao hao ndiyo walimpukutisha ndugai aliposema mikopo haina maana,haohao ndiyo walisimamisha kazi Gerad kwa kutoa maoni yake kuhusu mikopo!
Samia suluhu anauma na kupuliza siasa za Samia na Kikwete hazina tofauti,2025 mtaelewa,like 2015😂