SC Tundu AM Lissu (Since 1968)
Mahambe Primary School.
Ilboru Secondary School.
Galanos High School.
University of Dar Es Salaam (LLB).
University of Warwick (LLM).
Formerly: MP, TSL President.
Currently: CHADEMA party Leader & TZ President in waiting!
"Wahe Majaji, mimi ni mshtakiwa pekee katika kesi hii. Ikumbukwe kesi ya Khatibu Gandi inasema maneno ya mtu mmoja hayatengenezi uhaini. Ushahidi uliotolewa haujathibisha nia ya kufanya uhaini. Kusipokuwa na prima facie case nitaitwa nijitetee kwa kipi?" - SC Tundu AM Lissu.
Breaking: State rests case against Lissu
Prosecution closes after 17 witnesses. Judges will now decide if @TunduALissu has a case to answer, in a trial that carries the death penalty.
Detained 495 days. Arrested April 9, 2025. Charged with treason. Lissu demands the court hear both sides first, as the law requires.
One ruling away from forced defence. All eyes on the High Court.
#FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #CcmMustGo
#TANZANIA: HECHE AWATAKA WANANCHI WOTE KUPIGANIA HAKI, "WANAFUNZI NA MWALIMU WAPEWA KESI YA UGAIDI, KILA MTU ATAFIKIWA"
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Julai 25, 2026 akizungimza na Waandishi wa Habari jijini Mwanza amewataka Wananchi wote kupigania haki kwa sababu kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake akitolea mfano wa Wanafunzi pamoja na Mwalimu 'waliobambikiwa' kesi ya ugaidi, amedai wakati Lissu anakamatwa na kupewa kesi ya uhaini walinyama.
Aidha, Heche ametoa wito kwa serikali kuacha 'kubambikia' watu kesi badala yake wawaachie ili waendelee na maisha yako kwa sababu kupigania haki si ugaidi.
Zaidi: https://t.co/AQX5r1i3H0
VIDEO:
“Si walisema wanamweka Lissu ndani chama kitakufa, kimekufa? Ndiyo kinakuwa cha moto zaidi kabisa, wakimweka Heche…atakuja Chagulani, atakuja Obadi atakuja nani…yaani huu moto umeshawaka hakuna namna ya kuuzima, watamwachia kama walivyomkamata”, - Heche.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche ameeleza hayo Jumamosi, Julai 25, 2026, akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mwanza kuhusu viongozi na wanachama kadhaa wa chama hicho wanaoshikiliwa maeneo mbalimbali nchini kwa tuhuma za ugaidi ambapo pia amedai kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu ina msukumo wa kisiasa, akishangaa namna kesi hiyo inavyochukua muda mrefu kumalizika.
Asante sana kaka @Mwabuk2Boniface
Thank you for the clarity
Leo kuna wanaharakati na wanachama wa Chadema wengi sana wanaishi nje ya nchi na tuna mchango mkubwa katika kurudisha Taifa kuwa wamoja LAKINI Uwajibikaji lazima!
No Justice No Peace!
#TutaelewanaTu
Mnatuonaje?
Yuda: Pambaneni mpate katiba Mpya
samia: katiba ni kijitabu tu
Yuda: Nawapenda wanaharakati, tena napenda kukaa na mwanaharakati @MariaSTsehai
samia: wanawaharakati ni magaidi
Serikali: ndani ya siku 2 imewafungulia kesi za ugaidi wanaharakati wa CHADEMA zaidi ya 50
#SamiaMustGo #CcmMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
"Christianity is facing an existential threat in Nigeria. The United States cannot stand by while such atrocities are happening there, and in numerous other Countries. We stand ready, willing, and able to save our Great Christian Population around the World!" - President Trump
Heartbroken but relieved Joshua Loitu Mollel has been returned to Israel after 761 days in Hamas captivity. 💔
🇮🇱🫶🏽🇹🇿 While Joshua wasn’t an Israeli citizen, over the past 2 years we Israelis adopted him into our hearts. While he will still travel home to his family in Tanazania, we feel like one of our own is back 🇮🇱🫶🏽🇹🇿
Joshua, 21, an agricultural intern from Tanzania, came to Kibbutz Nahal Oz to learn modern farming and one day start his own agricultural business back home.
Kind, polite and hardworking, he embodied hope and curiosity on his very first trip abroad.
Just two and a half weeks after arriving in Israel, Hamas terrorists attacked. Joshua was kidnapped and later murdered in Gaza - his dreams and his family’s hopes stolen in an instant.
After 761 days, Joshua’s body has been returned to Israel - for the dignified farewell he was denied for far too long.
May his memory be a blessing. 🕯️
Loitu Sinduani Mollel, the father of Joshua Loitu Mollel, who was returned last night from Hamas captivity, asked to thank all the people who called for Joshua’s release.
Within a few days, Joshua’s coffin will arrive at his homeland Tanzania for proper burial.
#TANZANIA: Maneno ya Deusdedith Soka kabla ya Kutoweka
"Unaweza ukamuua Soka Lakini huwezi ukauwa fikra ambazo mimi ninafikiri. Kwa sababi fikra zangu ni kupigania haki. Hata kama nikifa leo, kesho au kesho kutwa, ninaamini fikra zangu zitaendelea kuishi. Wako mamilioni ya watu ambao napigania haki na wanafikiri kwenye kupigania misingi ya haki ambayo mimi ninafikiri." Deusdedith Soka, Aliyekuwa kiongozi wa Vijana BAVICHA, alitoweka katika hali tatanishi mwaka uliopita.
Tazama Zaidi: https://t.co/dbeLAk0sir
Tanzanian President Samia Suluhu was hoping her dictatorial story wouldn’t spread beyond East Africa , but now, every major global news outlet and blog is running it!
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu matukio yaliyosababisha vifo, majeruhi na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Kupitia taarifa ya Kamati ya Uongozi Taifa, Chama hicho kimesema kimepokea taarifa kutoka maeneo mbalimbali Nchini zinazohusu Wananchi walioumia au kupotea na kimeitaka Jamii kudumisha utulivu huku Vyombo husika vikichukua hatua kwa mujibu wa sheria.
Aidha, ACT Wazalendo imetoa pole kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wote walioumia katika matukio hayo, vilevile Chama hicho kimeeleza kuwa tukio la kifo cha Mgombea wake wa udiwani wa kata ya Sirari, Jimbo la Tarime, Marehemu Dafroza Jacob ni miongoni mwa matukio yanayohitaji uchunguzi wa kina ili kubaini ukweli na kuhakikisha haki inatendeka.
Katika tamko hilo ACT Wazalendo imesisitiza umuhimu wa Serikali na Wadau wa haki za Binadamu kuhakikisha kunakuwepo uchunguzi wa haki pamoja na kuimarisha majadiliano ya kitaifa kuhusu amani, umoja na mustakabali wa Taifa.
#MillardAyoAUPDATES
"Mimi naongea haya sababu nimepoteza dada yangu na hakuwa kwenye maandamano. Alikuwa anaendesha gari akiwa na mtoto wake mdogo. Kapigwa risasi akiwa anaendesha gari. Ame acha watoto wadogo wawili na mbaya zaidi mtoto wake mdogo ameshuhudia mama akifa machoni mwake! "
C&P
97.2% Tanzanian results explained.Kasongo I dare you try this on us hio siku ndio utajua hujui.
The People’s will and sovereignty must be exercised in a manner that is,secure,open,free and fair.The people have the power to reject any EXTRA-CONSTITUTIONAL means of grabbing power.