๐sasa nyie mna jambo lenu tarehe 28.10.2020 ni kufyeka hii ๐๐ mapema sana
๐Nyie wenyw ndugu zenu wakiokumbwa na hili jambo mnajua cha kufanya maana adui ya baba yako ,mama yako,kaka yako,dada yako,mjomba wako na shangazi yako ni ADUI YAKO
YAANI UGOMVI HUU UNAWAHUSU 28.10.2020
Diwani hivi huchachoka tu naxkukubali kushindwa! Ukianza na
๐ DATECS & INCOTEX toka Bulgaria
๐CELLEBRITE kutoka Israel (mara mbili wamekupiga hela)
๐VERINT SYSTEMS LTD kutoka Israel
Bado wote wamekwama
It was a HELL OF A RIDE and nataka waelewe I would do the same thing over and over again. Mnaelewa kwanini? Mimi ni MWANANCHI wa JAMHURI si MTUMWA wa MTU YEYOTE. ๐๐ Nakutakieni usiku MWEMA!
#Niyeye2020#ShikamooMaalim
๐คฃ๐คฃ๐๐
Elections is about voting! Ndugu zangu toka nyumbani nenda kapige kura! Yaani vote vote vote! Mengine tunamuachia His Excellency Lissu Antipas Mughwai atupe maelekezo kama incoming CIC
โ๐ปโ๐ปโ๐ป
Kura ya vijana imebebwa na @TunduALissu na upinzani @ChademaTz@ACTwazalendo miongoni mwao ni vijana ambao wanapiga kura kwa mara ya kwanza. Asitokee mtu akapuuza dhamira na mapenzi dhati ya wapiga kura hawa! Nguvu wanazo, dhamira wanayo - msiwaibie haki yao! #ChangeTanzania