“Oktoba 29 wananchi waliandamana kusema hawaridhishwi na namna ambavyo Tume inaendesha Chaguzi, wanataka Tume huru ila wakajibiwa kwa risasi za moto…”-; Mhe. John Heche
Kichwa cha James Temba kimepatikana Maeneo ya Kitunda Kibeberu Dar es salaam, James alitekwa kisha akakatwa kichwa na mwili wake ukatupwa mto Msimbazi.
MSIBA UNAANZA UPYA MAUMIVU YANAANZA UPYA MACHOZI YANAANZA UPYA mungu awatie nguvu wafiwa wote
Mikutano 5 tu CCM imepasuka imetuma Sisty Nyahoza
hiki chama ni takataka kabisa, hawana akili, hawana uwezo na hawana utu
wahuni wanatumia mifumo kutawala nchi
Kesi ya mh Lisu inaonyesha kabisa mahakama haziko huru nchi hii kwani richa ya mwanasheria mkuu kukataa kucheleweshwa kesi mahakamani lakini bado inaonyesha mahakama zenyewe haziko huru zipo chini ya mamlaka fulani ndio inayo hamrisha mamlaka zingine zote
@freeTunduLisu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche, amehudhuria Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya kati lililofanyika Jijini Mwanza hii leo Mei 13, 2026 ambapo amesikiliza mada mbalimbali zilizowasilishwa na Viongozi wa CHASO.
Miongoni mwa mada zilizojadiliwa ni pamoja na Vijana na uongozi, nafasi ya Vijana katika siasa, ripoti ya Jaji Chande pamoja na umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya Nchini.
Kongamano hilo limewakutanisha Wanafunzi kutoka Vyuo mbalimbali kwa lengo la kujadili masuala ya kisiasa na maendeleo ya Taifa.
Akizungumza katika kongamano hilo, Heche amesisitiza umuhimu wa Vijana kushiriki kikamilifu katika uongozi na mchakato wa mabadiliko ya kidemokrasia Nchini, akieleza kuwa Vijana wana nafasi kubwa katika kuamua mustakabali wa Tanzania.
#MillardAyoUPDATES
#AFRIKAKUSINI: MAABARA YA AFRIKA KUSINI KUTENGENEZA DAWA MPYA YA UKIMWI
Shirika la kimataifa la afya Unitaid limesema Jumanne kwamba maabara moja nchini Afrika Kusini itaanza kuzalisha lenacapavir, dawa mpya ya sindano ya UKIMWI, hatua kubwa kuelekea kujitegemea kwa kiafya barani Afrika.
Lenacapavir, iliyotengenezwa na kampuni ya Marekani Gilead, ni tiba ya sindano inayotolewa mara mbili tu kwa mwaka.
Wataalamu wanasema hii ni hatua kubwa ikilinganishwa na dawa za vidonge vya kila siku, hasa kwa wanawake wanaokumbwa na unyanyapaa.
Utafiti umeonyesha lenacapavir inapunguza hatari ya maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia 99.9.
Mkurugenzi Mtendaji wa Unitaid, Philippe Duneton, alisema: “Pamoja na Gilead, tuna makubaliano na serikali ya Afrika Kusini kuhakikisha dawa hii inazalishwa nchini haraka iwezekanavyo.”
Unitaid inalenga kupunguza gharama za matibabu na kupanua upatikanaji wa dawa kwa nchi maskini, hatua ambayo inatazamwa kama mapinduzi ya kiafya barani Afrika.
Msajili wa vyama vya siasa huyu mtu anatakiwa KUNYONGWA MPAKA KUFA.
Lisenge linajiona lenyewe kama ndio alfa na omega wa siasa za Tanzania.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inatafuta namna ili shughuli za chama hicho zisimamishwe licha ya zuio la kutofanya shughuli zake kuondolewa na mahakama.
Huyu MPUMBAVU ndio karuhusu MAHAKAMA leo inatumika kama CONDOM ya Samia.
Mpaka leo siku 399 Lissu yupo Gerezani kwasababu MAHAKAMA imeamua kutumika kama CONDOM.
Afu anakuja leo anataka kutufundisha lugha za kutumia dhidi ya WASENGE wenzake. KATIWE na sokwe huko.
Huyu MPUMBAVU ndio karuhusu MAHAKAMA leo inatumika kama CONDOM ya Samia.
Mpaka leo siku 399 Lissu yupo Gerezani kwasababu MAHAKAMA imeamua kutumika kama CONDOM.
Afu anakuja leo anataka kutufundisha lugha za kutumia dhidi ya WASENGE wenzake. KATIWE na sokwe huko.
"Pamoja na zuio haramu dhidi ya Chadema kuondolewa bado ofisi ya Msajili inatafuta njia za kufanya shughuli za Chadema zisimamishwe. Baada ya kikao cha Kamati Kuu tulichokaa tarehe 28 na 29 Aprili 2026 na matamko ya Kamati Kuu tuliyotoa tarehe 2 na 5 Mei 2026 kwa umma juu ya masuala mbalimbali, tumeandikiwa barua na Ofisi ya Msajili ya kutakiwa kujieleza." Mhe. @jjmnyika
Ila kwa sasa idara zote za serikali na upelelezi wanatakiwa kujua ni watupu. Hakuna wanachopanga gizani kisichojulikana. Ndani mwao kuna wenye uchungu kama sisi.
@HildaNewton21 ulindwe kwa damu ya Yesu.
Kichwa cha James Temba kimepatikana Maeneo ya Kitunda Kibeberu Dar es salaam, James alitekwa kisha akakatwa kichwa na mwili wake ukatupwa mto Msimbazi
Ikumbukwe mwili wa James ulishazikwa alhamis iliyopita leo kichwa kimepatikana-familia inaingia msiba mwingine wa kuzika KICHWA
‼️🚨MORE TRAUMA AND ANGUISH IN #Tanzania ‼️
The severed head of James Temba has been found in Kitunda Kibeberu Dar es salaam!
Temba’s body was buried laat Thursday and now a fresh burial is expected! He was abducted and beheaded in Dar es Salaam and as usual no real leads! It is clearly a “professional” job done by experienced state backed operators!
So much pain! This is Samia Suluhu’s legacy!
That is why we say #SamiaMustGo