@TheChanzo Zanzibar tena?? Wale wana serikali yao tofauti kabisa. Inaitwa serikali ya mapinduzi zanzibar kama sijakosea. Sina hakika kama watanganyika wana serikali yao?
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
@AllyHapi Siku hizi na wewe hututumii tena picha za mashamba yako toka cheo kilipopanda. Na yeye cheo kikipanda ataacha kutuma picha za maparachihi. Yeye hatakuwa hapo alipo siku zote likewise wewe pia hutakuwa hapo ulipo siku zote au umeshasahau mara hii??
@LuhagaMpina The 48 Laws of Power by Robert Greene is not a Bible. Just written by a man like you. We can read and learn from it but we are entitled to have our different views and understanding of the matter and how to approach it. It is just a 📕
This song Brought tears to my eyes because these words resonated in my soul to the core.
This is for someone here too. Maybe you are at the verge of giving up, please hang in there
Never Ever Give Up!
@AbroadTanzania Ndio maana ikiwa CCM itayumba ni hatari hata kama hutaki ukweli huo unless kuna mbadala wa kweli na wenye nguvu za kutosha. Tuliondoka mfumo wa chama kimoja kwa maneno na sio kimfumo, sio kivitendo. Kumbuka maneno ya late Mwl. Nyerere alikuwa sahihi sana.