Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
@dr_techtz @hamis_abas Nuture ya wateja wa kariakoo na mwenge au sinza ndo inawafanya wauzaji kuuza simu famba au original
Emagin mtu unaenda kununua simu china plaza .pale hakuna simu ni utapeli tu simu nyingi za ku top up tu
Wazazi wako walipo wanasikitika kuona kijana wao yuko mtandaoni anashangaa kuona ROLEX inauzwa Tsh 55,800,000/=
UNATIA Aibu ukoo wenu mzima mashangazi na wajomba wanaonekana
mafala TU lakini kosa lilikuwa la babu yako mzaa mama na baba
Mudi in Dubai
WhatsApp
โ๏ธ+255719068333
Thamani yake ni sawa na gharama ya kununua Apartment Kariakoo au kununua nyumba Sinza
Tsh 200,000,000/=
Mabwege au vipera maziwa wanaopaka lotion za Tsh 10,000/= hawawezi kuvaa hii ๐ฏ
Kama una hela ๐
Tuwasiliane Kwa WhatsApp
โ๏ธ +255719068333
Mudi in Dubai ๐ฆ๐ช
Kwa wale waliotuma maombi ya ajira hapa Dubai jiandae kwa interview ya video calling na Human Resources wa kampuni nilizotuma maombi na Cv zenu
Utapigiwa simu muda wowote kuanzia sasa mostly wataanza kuajiriwa unskilled labour maana kazi zisizo hitaji elimu kubwa
Kuwa Standby
Usihadaike na mafanikio ya wenzako au kuteseka na hatua walizopiga kwenye maisha Be Humble and Be Inspired jifunze vitu vidogo vidogo kutoka kwao kisha fanya bidii kuukimbizi umaskini kwa njia zako maana hustler hajawahi kulala njaa tofauti na mkaa bure ๐ฏ