You are not broke. You just didn't have daddy's money, rich relatives, or connections. You are building everything from scratch. Dear bro, your time will come.
Kesho tunakwenda kufunga ukurasa. Mbunge anayesubiri kuapishwa, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe anakwenda kufunga hesabu katika viwanja vya shule ya Msingi Ujiji
#Mwami2025#SisiNiWashindi
ZITTO KABWE KULIPA UHAI WAZO LA UJIJI CITY
@zittokabwe Kutekeleza wazo la Ujiji City, wazo litakalo fufua mji wa kihistoria wa Ujiji na kuurejesha katika hadhi yake ya zamani kama kitovu cha biashara. Ujiji inatarajiwa kuwa lango la kiuchumi kwa mikoa ya Magharibi
#Mwami2025
Zitto Kabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao, huku akihakikisha uwajibikaji na uwazi katika usimamizi wa sekta hiyo
@zittokabwe#Mwami2025
@zittokabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao, huku akihakikisha uwajibikaji na uwazi katika usimamizi wa sekta hiyo.
#Mwami2025
Zitto Kabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao.
@zittokabwe#Mwami2025
https://t.co/ZzYcJs7qdT
@RahmaSalum255@zittokabwe Kauli hii ya @zittokabwe inaonesha dhamira ya kweli ya kuleta mageuzi katika sekta ya uvuvi โ sio maneno tu, bali ni dira ya maendeleo kwa wavuvi wa Kigoma.
@zittokabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao, huku akihakikisha uwajibikaji na uwazi katika usimamizi wa sekta hiyo.
#Mwami2025