Na ukizeeka huwa unapata wisdom sana. Si mchezo. As you age most of the things you deemed necessary when you were young now become very unworthy of the effort you put. Na ndio maana mungu hawezi itikia tupite miaka 150,because everything in this world will bore you. Sasa kama sahii najaribu kuona umuhimu wa hii kitu tulikua tunaita bubbling naona hakuna. Bubbling ni hii msichana alikua anainama chini kama anaosha vyombo,alafu unakuja nyuma yake na bluetooth unataka kuconnect,lakini haiconnect juu hamko kinùi. Sasa hiyo ilikua inanisaidia na nini kusema ukweli. I dont even see the need of going to a kinyozi where women wear short skirts to entice you. What for? Kama sionji sioni haja. Wacha niende kwa wakihara ata kama ananukanga mdomo asubuhi akikupuliza kichwa unaskia kutabika. Age is wisdom buana