@HusseinBashe Je, mnajua kuwa mbegu zenu zinashindwa kuota, na hivyo kutuletea hasara kubwa kama wakulima? Tumekuwa tukikwamishwa sana—hazimei vizuri, hazina ubora, na mavuno hayaridhishi.
Mitaji yetu ni midogo, lakini tunawekeza muda na rasilimali nyingi kuandaa mashamba.
@EfmTanzania @TCRA_Tz Tunaomba tupate ufafanuzi juu ya usalama wetu wa data, pindi tunapokuwa safarini, airports, hotel, internet cafe pengine na maeneno mengineo ambayo yatakulazimu kutumia public wi-fi.
@MbelwaK Asante sana, Mh. Balozi Kwa update. Tunaweza pata mawasiliano ya masoko, tupo Mwanza na tupo wengi tunaojishughurisha na kilimo hiki Cha mihogo ya kisasa. Uzaaji wake ni kuanzia 20 - 32 tone per hekta. Changamoto zetu ni masoko.