Let the games begin, from 0.0000016 rockets towarding $2681.
There's no stopping the @squidvipgame๐
$SQUID Ca: 0x57D9750893ADB0d1ee07bac44c8bB45c45b58f73
https://t.co/XL8x2C6cM0
๐ฃ๏ธ Join OKX x @SweatEconomy AMA Campaign
5๏ธโฃ0๏ธโฃ OKX users will win up to 100 in $SWEAT
โ RT & @ 2 friends
โ Follow @okx
โ Join #OKXAMA with Ofir Avigad, Marketing Director of Sweat Economy.
Details ๐
@SweatEconomy@FewandFarNFT Hey stay safe with Flare, the best App for outdoor safety. Use my Flare referral code to sign up: XER436721. Download the app here: https://t.co/iUuHwlI89Z
@PatrickJAssenga Kwenye hii katuni kwa upande wangu naweza fafanua kama ifuatavyo, Serikali yetu ndiyo pekee yenye nguvu kubwa kwenye kutoa maamuzi katika mihimili yote mikuu mitatu mfano. ukitazam hilo jitu(SIRI KALI) hiyo ndiyo serikali, ambayo inaweza fanya jambo lolote na kuhakikisha haki
@PatrickJAssenga au dhuruma inapatikana. pia kwenye hiyo picha inamuonesha hakimu kama mtoa hukumu
, je? hukumu anazotoa niza maagizo au haki mm sijui, lakini kutokana na picha inaonesha kuwa hukumu nyingi zinazotolewa siyo za haki bali niza maagizo na ndiyo maana unaona mdhani unaegemea kwenye
@PatrickJAssenga maagizo wala siyo haki. Sasa kumbe inaonesha kuwa wengi wanao pewa hukumu siyo hukumu za haki bali ni zamaagizo na ndiyo maana ukicheki vizuri kwenye hiyo picha mtu mmoja tu ndiye aliye pata haki na weng wamefyekwa chini kupitia maagizo ya serikali.