One day iโll be a President of ๐น๐ฟ. Iโll be like a shepherd looking after his own flock. But first, i must fulfill my professional ambitions (WHO Med PQT)
Hey @WHO Medicines Prequalification Team, my time has come. Iโll join you soon, to establish myself as one of the top experts in assessment of product dossiers.
@makumbawaleo_5n Mambo ya kuzaa mtoto unamuita "Prince", anatritiwa kama yai, chochote akitaka anapewa. Siku akisema anataka kwenda disko akakataliwa kwanini asijinyonge?
@AllyHapi Mbona CCM inateka na kuua maelfu ya watanzania ili tu iendelee kunufaika na mali za watanzania? Kwanini CCM isikubali kuondoka madarakani na ikaanza upya?
@MunishiRenald Hii ITATOKEA 100%. Israel atatengwa na DUNIA NZIMA na atabaki peke yake. Sio tu kutengwa, bali DUNIA NZIMA itatengeneza jeshi la pamoja ili kuipiga Israel chini ya amri ya mpinga kristo..
@Thommunkondya Wangapi pia wanajua kwamba vijana hawapati taarifa kwasababu serikali haramu iliamua kuwaua kinyama ili kujiweka madarakani October 29, 2025?