Leo ndo mkesha kusuburia #D25
Tuandae mabango, picha, maji na bendera na tukumbuke hii ni kwa ajili ya ndugu zetu waliouwawa na kwa ajili ya Tanzania mpya na bora
Maandamano bila kikomo maana yake anytime, anywhere and every day!
#SamiaMustGo#J1
‼️TOA MAPENDEKEZO‼️
Ratiba kuelekea #D25#J1 - muda wowote sehemu yoyote nchini!
Naanza kupendekeza 👇🏾
Disemba 2025
Jumatatu 15 Kuandaa mabango
Jumanne 16 Jogging club - kujiunga na kuunda clubs za ushawishi
Jumatano 17 Maandamano nchi nzima katika mtaa/ kata /wilaya
Alhamisi 18 kusambaza ujumbe wa #D25 kupitia nyimbo kwneye mabasi/ nyumbani/hostel/kazini, spray wall au kutundika bango lenye ujumbe barabarani
Ijumaa 19 Kufanya usafi mitaani
Jumamosi 20 Maandamano kwenye sehemu za burudani na starehe
Jumapili 21 Maandamano kwenye Ibada
Jumatatu 22 Kuandaa mabango
Jumanne 23 Jogging
Jumatano 24 Maandamano nchi nzima
Alhamisi 25 Maandamano nchi nzima
Ijumaa 26 Kufanya usafi mitaani
Jumamosi 27 Maandamano kwenye sehemu za burudani na starehe
Jumapili 28 Maandamano kwenye Ibada
Jumatatu 29 Kuandaa Mabango
Jumanne 30 Jogging na kusambaza ujumbe kwa njia mbalimbali
Jumatano 31 Maandamano nchi nzima
Habari kubwa duniani leo ni JOHN CENA anapigana mechi yake ya mwisho kama mwanamieleka wa WWE (ANASTAAFU WWE).
Mimi kama mdau wa WWE hili tukio ni kubwa sana na lazima nilifuatilie moja kwa moja.🙏🏿
Hawa ndugu zetu, sidhani kama tutawaona tena, labda sisi wananchi tuwatafute watekaji kwa bidii bila kuchoka, basi angalau watupe mifupa yao. Lakini siku inakuja ambako kila lililo tendeka gizani litafurumiwa hadharani.
Tukitangaza MAANDAMANO siku ya show ya MSANII kuna MAWILI MAKUBWA.
1. Msanii ataahirisha SHOW na kuingia HASARA.
2. Wananchi TUTAANDAMANA kupekeka ujumbe wetu kwa WAKOLONI WEUSI.
Hapo Washindi ni sisi wananchi. Kama watatulaza NDANI wananchi na Wasanii basi tumekosa Wote UNYAMA tutasubiri Show nyingine na sisi tutaitisha maandamano mengine.
Yani ni “WEKA TUWEKE” bila kuchoka.
To the international community, Tanzania needs your help. We need you to do more than issuing statements, we need actions. EU, AU, SADC, @StateDept@realDonaldTrump , UNITED NATIONS, AMNESTY
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
Wakili Msomi Juan Carlos Gutiérrez.
Ni Rais wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Wanasheria Duniani.
Ni mshauri wa masuala ya haki za binadamu ktk Chama cha Wanasheria Madrid.
Amekuwa Jaji wa Mahakama ya Jinai Venezuela.
Ni Wakili wa ICC.
Ni Wakili wa Watanzania.