@kapeto98@Aduiwayanga Wanawake tuishi nao kwa akil na sio kwakutumia hisia kwel broo nimepata cha kujifunza mr
Wanawake wengi wakaa kifaida faida zao sio kwaajir ya kutengeneza maisha
Daaah Wadada Mmefikia huku kwelii wapi tunaelekeaa..๐ข๐ญ
๐งต
Kwenye maisha Yangu hamna watu nawakubali kama wanawake na ni watu ambao nawaamini sana, ila kwa haya mliomfanyia mwanangu nimewanyooshea mkono..
Mwanangu Nilimuuzia Godoro kitanda na Kabati mwaka jana Kutoka @KapetoMall akawa navyo Getho kwake pale maeneo ya Kibo Ubungo..
Getho likawa limependeza kinoma mimi mwenyewe nikawa natamani Getho langu liwe kama lake..
Sasa mwaka Jana Kuna mwanamke wake mmoja alimpata Maeneo ya Bar alimpaga mimba so baada ya kujifunguaa akaaamua aishi nae tu Mambo yesiwe mengi..
Sema wanae wengi tu tulimshauri achukue tu mtto wake asimuoe Yule mwanamke kwani sehemu waliyokutana lazima angemsumbua kwenye maisha yake..
Sema Yule Jamaa wetu hakuweza Kutuskilizaa hata kidogo alijua maybe tunampenda mke wakee..
Jana Kuna Jirani yangu akanambia Kuna mshkaji mtaa wa pili kaibiwa Vitu vyote vya ndani alivyokua kaondoka nyumbani kaenda nyumbani kwao kwenye msibaa..
Mimi sikujuaa kama ni huyu mshkaji wetu ambaye tulikuaa tunamshauri kila siku hatuskii..
Bahati nzuri Muda sio mrefu kanitumiaa Text WhatsApp na kunambia kuwa yule mwanamke kabiba kila kitu tulivyomuuziaga kutoka @KapetoMall mimi mwenyewe kanishtuaa sana maana mwanamke mwenyewe hata hauwezi kumzaniaa..
Mwanamke Alichofanya kamrudisha kwanza mtto wake kwa Bibi yake Singida yeye akarudi Mjini akahama na vitu vyote vya ndani na Simu zake zote hapatikani..
Ila kila siku mwenetu @prossoff anatupa Ushauri kuhusu hawa wanawake wa kukutana nao mjini hapaa hawafaii..ila ni sisi tu hatuelewii..
Baada ya kuongea na Jamaa nilichomshauri ..
1. Asiamini Mwanamke ambaye hamjui Background yake hata mara mojaa..
2. Hapa Dar es salaam Tanzania ni mji wa Biashara ukifuata mapenzi mambo ya Upendo lazima Utaishia Pabayaa..
3. Sometimes uwe unaskiliza Ushauri wa Washkaji zako maana hawawezi kushauri mabayaa hata siku mojaa..
4. Ajipe Muda kidogo kwenye maswala ya Kupenda penda Hovyoo..
5. Cha mwishonilikwambiaa kwenye mapenzi ikiwezekana atumie Akili asitumiee Hisiaa..
6. Cha mwisho kabisa Nilimwamwambia aje kununua Godoro na vitu vingine Kwenye kampuni yetu @KapetoMall tutampunguzia maana amepata matatizoo..
7. Pia kama anaweza Kuipukana na shida kama hizi awe anazitatua kiurahisi amcheki @ClaraKavin17559 apewe Bima yake kwa ajili ya Vitu vyake ikitokea Amepata shida apewe Compensation..
Mimi imeniuma kwa kweli ndio maana nikaona Nishare na nyinyi wanangu Muone ili yasije kujitokeza tena kwenu..
Usisahau kuretweet watu wengi waone Hii nawatakiaa Siku njema..
Wanawake Muishi nao kwa Akili..
Tuambie penzi lenu linaendeleaje huko ๐น๐น๐น๐น
Jina gan unapenda kumuita mpenzii wako ? Tuambizane wakuu
Mpenzi wako umemsevu nan kwenye sm yako...?