Muundo huu utakwenda kudhoofisha huduma za Uuguzi na ukunga na kuleta athari kwa sekta ya Afya nchini .Serikali isiruhusu uanze kutumika kabla ujafanyiwa marekebisho @SuluhuSamia@ummymwalimu@wizara_afyatz @OR_TAMISEMI @a_baluhya @
Ukuaji wa taaluma sasa unaenda kuonekana na hii itasaidia kupata muundo wa kiutumishi ulio bora kwa Wauguzi . Tunaipongeza TNMC Kwa kufanyia kazi hoja yetu ya muda mrefu. @ummymwalimu@wizara_afyatz@muhimbiliuniver
Bi Anne(consultant)kutoka Norwegian nurses association alitembelea ofisi ya TANNA Makao Makuu Leo Tangi bovu ,Dar es salaam. Hii ni katika kuendelea kuimarisha umoja wa vyama vya kitaaluma Duniani Kote @ummymwalimu@wizara_afyatz
Wauguzi kutoka Hospitali ya Mawenzi Leo walipotembelewa na Mjumbe wa Makao Makuu TANNA Ndg Proteus Prosper . Moja ya mambo waliyosimamia ni kuhakikisha wanatumia Chama Cha Wauguzi na Wakunga (TANNA) katika kuratibu mambo mbalimbali ya kitaaluma.