@zingatia_@PPinyado@zoetjesheeftX Tujue maana ya limited by shares / unlimited or partnership ukishajua hivyo utajua tu kwamba diamond ataweza toa pesa zake mfukoni au laaaa...nikukumbushe kampuni nyingi hapa bongo ni limited hivyo swala la mondi kutoa pesa zake mfukoni ni ngumu..
@Sirjeff_D Kwahiyo alikua anatafuta GPA kubwa bila kujua maana ya GPA lakini hiyo siyo sababu ya yeye kuwa kiraza japo inafikirisha kama alishindwa kujua maana yake...
@ulyyeb360@georgerugambwa Kama huo ndo mfano uliyotoa ndiyo inakithiri demokrasia yetu basi maana ya demokrasia utakuwa unaichanganya na mfumo wa kiuchumi..