@justin_gomenya@millardayo Na wala sio uzembe wa sheria za barabarani. Pale tabata kuna icd zaidi ya 3 ndio zinaleta hayo malori mjini pamoja na yale yanayotoka bandarini. Foleni hapo hata ukifata sheria ni lazima sababu mengi nayaturn ili kuingia kwenye hizo depot