I make no apology. I celebrate the death of Wikinero Chivayo.
Saturday 6 December 2025 he went to Mnangagwa and demanded he find ways to KILL ME.
But the snake turned Mnangagwa was also plotting to kill HIM.
This is what happens when you eat the poison meant for another.
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫 Captain Ibrahim Traore amepunguza mshahara wa mawaziri kwa asilimia 30% na kuongeza mshahara wa wafanyakazi kwa asilimia 50%
Na pia ameukataa mshahara wa Urais akisema mshahara wa jeshi anaopata kama paten unamtosha!
Maoni Yako kwa Rais wa nchi Yako ni Yapi ?
Pamoja na changamoto za mafuriko, lakini kwa kutambua @AgriThamani na @OmukaHub tunafanya kazi katika Shule za Bukoba Mjini na Mialiko niliyopokea, nikaona ni vyema nipitie Shule za Sekondari Ihungo, Bukoba Sec, Kagemu & Kahororo kuwapa motisha wanangu, Wanafunzi wa Kidato cha 6.