Single mother Mtanijibu Hii and bro's nahitaji maoni yenu🥺💪.
Mwaka jana nikiwa ndio kwanza mgeni kwenye jiji X kuna binti wa "KIMBURU",nilitokea kumpenda sana.
Binti alikuwa na ujauzito wa miezi 4 na baba wa mtoto alikimbia.
Kutokana na hali ya kumjali kumheshimu na kumpenda,nikachukua jukumu la kumsaidia kama mke wa watoto wangu.
Mungu si athumani miezi 5 mbele binti yule alijifungua salama,akiwa na mtoto wa kiume.
kitendo cha kuchukua jukumu la kulea mimba yake,kumjali haikutosha binti alitoa kauli moja Tu kuwa " STEVE"niache sikutaki.
Hiki kipindi kilikuwa kigumu na "unforgettable"kwenye maisha yangu.
Leo hii july karudi tena na anataka msaada wangu,je?Bullying na kumsema vibaya ntakuwa nimekosea kwake!.
Hii imekaaje X family drop maoni yako!.
Kwa mtazamo wa Marketing Strategy, hii ni aina ya Attention Marketing ambapo brand au muuzaji anatumia kitu kinachoweza kuvuta hisia za watu haraka ili kupata visibility kwenye platforms zenye ushindani mkubwa kama Instagram na TikTok.
Kitaalamu, siyo kwamba mbinu hii ni mbaya moja kwa moja, kwa sababu kwenye digital marketing jambo la kwanza ni kupata attention ya audience. Tatizo linakuja pale ambapo attention inayopatikana haiendani na lengo la brand.
Faida za mbinu hii.
•Inaweza kuongeza reach, views na engagement kwa haraka.
•Inaweza kusaidia bidhaa kufahamika na kufikia audience kubwa.
•Inaweza kutengeneza traffic kwenda kwenye page au store.
Changamoto zake:
•Audience inaweza kuvutiwa zaidi na mtu kuliko bidhaa inayouzwa.
•Brand inaweza kukosa kujenga value ya muda mrefu kwa sababu watu wanakumbuka content kuliko bidhaa.
•Engagement kubwa haimaanishi mauzo makubwa muhimu ni conversion kutoka kwa watazamaji kuwa wateja.
Kwa hiyo, marketer mzuri anapaswa kujiuliza:
“Je, content hii inasaidia kuuza bidhaa au inauza attention pekee?”
Kwa bidhaa kama fashion, kutumia model au lifestyle content ni strategy nzuri kwa sababu inasaidia wateja kuona bidhaa inavyovaliwa au kutumika. Lakini focus kubwa inapaswa kubaki kwenye product quality, brand identity na customer experience.
Mwisho wa siku, marketing bora siyo ile inayopata views nyingi tu, bali ile inayobadilisha attention kuwa brand awareness, trust, leads na sales.
Nafikiri nitakua nimekujibu kaka mkubwa.
Ukweli ni Kwamba mwanamke wako anaweza kukutumia wewe Message “Usiku mwema” na akamtumia Message mwanaume mwingine kuwa “Leo Nimeshindwa kulala kabisa”.!!😒😂
Weekend is weekending ukitumia @twenderide kwenye safari zako.
Furahia Gharama nafuu za usafiri,Usalama wa safari uki-Rikwesti na TwendeRide.
Pakua sasa Twende Ride App na wewe uenjoy safari zako bila stress!