โHili linaweza kushinda tuzo ya goli bora la mwaka duniani.โ- haya sio maneno ya semaji au admin, haya ni maneno ya mchezaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Rio Ferdinand kuhusu uzuri wa bao la Clatous Chota Chama dhidi ya mtani Young Africans.
Basi kuna watu wanaumia ๐๐๐
๐ฅ @CloudsMediaLive #NguvuMoja
@ThomasMwakagil1@kajembe_jr@lifeofmshaba Good question.. Au hua kesi zikashaisha maakaman wanatoaga iz taarfa public.. Kama sivyo anapataje... Kuna kesi nlikua naijua coz nlikua nawajua wahusika in person aliielezea kama ilivokua names na every scenario
@officialshakuu Nan kakudanganya io method iko 100% perfect!!!? .. Apo 50/50 ni yako bora ingekua unamwaga ndani ingekua walau 70% now u gota wait adi akuje.. Uc mwambie atoe trust me.
@swahilitimes Huu ni uongo.. Watoto wanatoa wapi msongo wa mawazo hata km inatokeaga ni 1/1000..Mungu fundi ujue.. Yenyew nakumbukaga nikiwa yanc nlikua namuulizaga maza kwan kuchoka mtu anakuaje๐ soo nlikua cjuagi at all..