ITV NA MWL. GRADIUS NDYETABULA
📌 Mshauri na Mchambuzi wa Masuala ya Elimu Nchini Mwl. Gradius Ndyetabula atakuwa ITV kwenye Kipindi cha MALUMBANO YA HOJA Kesho tarehe 15 Julai, 2022.
MADA : MICHANGO MASHULENI
@gradiusndyetabula
@SuluhuSamia@wizara_elimuTz
TUNA JAMBO LETU
Wanafunzi Wetu wa Grade 6 ( Wajukuu wa Mama ) Watakuwa ITV kipindi Cha WATOTO WETU Kutoa Ujumbe kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Kukuza na Kuboresha Sekta ya Elimu Nchini.
#ShuleBora#ElimuBora@GRADIUS92673949@ikulumawasliano@Sigyfrid_L
Mchambuzi na Mshauri wa Masuala ya Elimu Nchini ambaye pia ni Mkuu wa Shule za St. Anne Marie Academy Mwl. Gradius Ndyetabula atakuwa UHURU FM Kesho Oktoba 5, 2021.
MADA : SIKU YA WALIMU DUNIANI
@HakiElimu@ikulumawasliano
@OR_TAMISEMI
@ummymwalimu@Sigyfrid_L
HAPPY BIRTHDAY - JAYDAN GRADIUS
Leo Desemba 31, Ni Kumbukumbu ya siku ya Kuzaliwa ya mtoto wa Mkuu wa Shule ambaye pia Mwanafunzi wa Shule ya Awali Jaydan Gradius.
Uongozi wa shule Unakutakia Maisha Mema yenye Mafanikio tele.
#HappyBirthdayJaydan@Sigyfrid_L
@PhilemonEdrick
NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA AWALI ( NURSERY SCHOOL )
Shule ya St. Anne Marie Academy inatangaza Nafasi za Masomo kwa Wanafunzi wa Shule ya Awali kwa ajiri ya muhula wa Masomo 2021. Wanafunzi wanaopokelewa ni Kuanzia Miaka Mitatu na kuendelea Usajili Umefunguliwa rasmi.
MORNING JAM NA MWALIMU GRADIUS NDYETABULA
Mshauri na Mchambuzi wa Masuala ya Elimu Nchini ambaye pia ni Mkuu wa Shule za ST. ANNE MARIE ACADEMY Mwalimu Gradius Ndyetabula atakuwa CAPITAL TELEVISION & CAPITAL RADIO tarehe 24.12.2020.
#CapitalTv#CapitalRadio
MORNING JAM NA MWALIMU GRADIUS NDYETABULA
Mshauri na Mchambuzi wa Masuala ya Elimu Nchini ambaye pia ni Mkuu wa Shule za ST. ANNE MARIE ACADEMY Mwalimu Gradius Ndyetabula atakuwa CAPITAL TELEVISION & CAPITAL RADIO tarehe 10.12.2020.
@Sigyfrid_L
@CapitalRadiotz
NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE YA AWALI ( NURSERY SCHOOL )
Shule ya St. Anne Marie Academy inatangaza Nafasi za Masomo kwa Wanafunzi wa Shule ya Awali ( Nursery School ) kwa ajiri ya muhula wa Masomo 2021. Wanafunzi wanaopokelewa ni Kuanzia Miaka Mitatu na kuendelea.
@Sigyfrid_L
NAFASI ZA MASOMO 2021
Shule ya St. Anne Marie Academy inatangaza Nafasi za Masomo kwa Wanafunzi wote Kuanzia shule ya Awali ( Nursery School ) hadi sekondari.
Usajili wa Masomo kwa Mwaka 2021 Umefunguliwa rasmi fika Shuleni kwa maelekezo zaidi au Tupigie 0713483784
@Sigyfrid_L
KUMEKUCHA ( ITV ) NA MWALIMU GRADIUS NDYETABULA
•
Mshauri na Mchambuzi wa Masuala ya Elimu Nchini ambaye pia ni Mkuu wa Shule za ST. ANNE MARIE ACADEMY Mwalimu Gradius Ndyetabula atakuwa ITV Kesho Tarehe 28.11.2020.
TUNAWATAKIA MTIHANI MWEMA
Uongozi wa shule ya St. Anne Marie Academy unawatakia Wanafunzi wote wa Kidato cha Nne wanaotarajia kuanza Mtihani wa NECTA kesho Novemba 23, 2020. Tunawatakia Katika Mtihani wao.
@Sigyfrid_L@wasafitv
@Wizara_HabariTZ
@ITVTZ@millardayo@FmClouds