In 2020, China offered to give Tanzania a $10 billion loan to build a port if they agree to
• No construction of a new port
• Chinese to manage the port for 35 years and take all the revenue
• 99 year lease
President Magufuli refused, saying only a mad man would sign that
@ccm_tanzania@SuluhuSamia Tumuunge mkono kuitoa bandari ya watanganyika kwa muarabu? Au tumuunge mkono kwa kuruhusu wamasai kuhamishwa makazi yao ya asili?? Au tumuunge mkono kwa tozo za simu?? Au tumuunge mkono kwa kuchelewesha rasimu ya katiba mpya?? Au tumuunge mkono kwa ongezeko la deni la taifa?? Eeh
@millardayo Ccm ipi yenye sera nzuri???? Hebu achana na matani bro tumechoshwa na simba usituchanganye na ccm. Jaribu kuwa mkweli acha kuchumia tumbo aisee tunafaham unatetea ugali ila angalia sana usidanganye watu na ccm eti ina sera nzuri.
@ccm_tanzania Ni vizuri kujenga viwanja kwa maendeleo ya badae haswa ktk soka, je mwananchi mimi ambaye namuajiri huyo raisi lini ntapata haki yangu ya kimsingi ya KATIBA mpya? Bila kuwa na muongozo thabiti hivyo viwanja vitageuka kuwa miradi ya upigaji ya watu note tutahtaji maendeleo ya kwel
We ask all those building camps along the river in the Maasai Mara to think twice about the consequences… this is the current situation in the Mara . Mother Nature is not happy with us. Mara Bush Camp , JW Marriott, Intrepid Mara and many other camps built along the river have been submerged. The planned construction of JW Marriott lodge in the boarder of Kenya and Tanzania, (Mara and Serengeti ) should also stop as it will have serious consequences on the migration. The moratorium should be for everyone. We should not have any sacred cow everyone is equal, it does not matter who is behind the deal.
@Roma_Mkatoliki Nadhani hata wao wanaelekea huko. Hakuna mifumo thabiti inayoakisi huduma bora inayozungumziwa haswa ktk siku kama ya jana ya wafanyakazi zaidi tu ya kuongezwa mishahara hilo ni tatizo tena la muda mrefu wala viongozi hawajali. Mungu msaidie Tundu Lissu raisi ajaye hili lisiwepo
@MariaSTsehai Pia kama kuna mpinzani ambaye ataandikwa ktk vitabu hivyo kwa kuwa na misimamo, uelewa mkubwa wa mambo, muadilifu, msema kweli, muungwana, mwanaharakati huru, mtetezi wa wanyonge, mwana mabadiliko ni mh Tundu Lissu. Huyu jamaa anastahili kuliongoza taifa hili HAKİKA🗣🗣🗣
Thousands of people being killed weekly,mostly women & children who also get enslaved for labour to extract Cobalt in Congo 🇨🇩 for US and Chinese Companies to make Electronic Products. 💔😭
@MwananchiNews Zinashamiri kwa sababu ya tamaa zenu, kutaka kuiongoza nchi na uwezo mdogo mlionao. Bado zitazidi hadi siku mkikubali kushindwa mkang'atuka wenyewe.Mnatengeneza matatizo halafu mnayatatua wenyewe yaani nyie ni matapeli wa kisiasa haswa. Unapoelezea hizo fitina zako elewa hayo pia
@MwanzoTvPlus Alipinga ufisadi, alikuwa na misimamo mikali hususani ya kijamaa, alinyamazishwa na @ccm_tanzania katika harakati zake za kutaka uraisi. Alikuwa mchapakazi wa kweli mwenye nidhamu ya hali ya juu, aliwatetea maskini na kuifanya A town kutambulika zaidi ktk utawala wake. Bado....
@CloudsMediaLive Tatizo la mpira wa bongo n maneno ya ujuaji mwing mno pasina vitendo. Hata wakibadili mfumo bado simba itaendelea hivhiv tu. Tunashindwa kukuza zile academy zetu au kuwekezea humo kusud kuinua vipaji eti tumwambie Mo aje kwa kipi afanye? Hatujui kufanya scout wangapi wamesajili?
@__abdulazack @freemanmbowetz Unafikiri kila post anayotoa mh Mbowe na ukaitumia kujibu upuuzi wako atakuzingatia au kukujibu?? Unapoteza muda zaidi unazidi kufanya watu wafuatilie kwa nini maandamano. Kiufupi nakupa pongezi japo unazidi kudhihirisha upuuzi ulionao kichwani ila anyway ahsante!