#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 283
Wote wameongeza mambo kwa mdomo ambayo kwenye maandishi hayapo kabisa. Wameongeza yasiyokuwemo kwenye maelezo yao.
Ni ushahidi wangu kwamba ushahidi wa maneno unaotofautiana na ushahidi wa maandishi kwenye jambo hilo hilo ni ushahidi usioaminika.
Ndio kusema ushahidi wote wa mashahidi wote wa upande wa mashitaka hauaminiki.
PW1,2,3,6,9,12 and 16 hawa wote ni mapolisi na waliandika maelezo polisi wenyewe na wakajikanya wenyewe na kujishuhudia wenyewe. Niliwauliza ni sheria gani iliwaruhusu wafanye hivi wakadai ndivyo huwa wanafanya mapolisi.
Sasa ni ushahidi wangu kuwa Mapolisi wanafanya mambo kienyeji na vielelezo D1,2,5,8,12 wote walijaindika ni polisi mmoja tu ndio aliandikwa na polisi mwenzake kwa mashahidi wote walioletwa na Jamhuri.
Waheshimiwa Majaji wale Mapolisi wa Ruvuma waliandikwa na mapolisi wengine lakini hawakuletwa. Wangewaleta njngewathibitishia kuwa maelezo yao yaliandikwa kwa usahihi.
Kwahiyo ushahidi wangu ni huo. Nimemaliza ingawa nimevuta vuta kidogo. Majaji wanaandika.
Jaji Ndunguru: Sasa hawa ambao hawajaletwa mahakamani unasemaje sasa?
Mhe. Lissu : Wangeletwa tungethibitisha taratibu za kuandika maelezo huwa ukoje. Kwahiyo ni ushahidi unreliable huu unatakiwa kwa kesi kubwa kama hii.
Ajuaye Wakili wa Serikali anasema tunaomba health break kabla ya kuanza cross exanination.
Naomba repost yako.
@lifeofmshaba Hayati alikua akipokea report kama hizi utaona action zikichukuliwa japo kurejesha fedha nusu au kidogo ya kilichopigwa, this time kila mtu karuhusiwa kula urefu wa kamba yake
@clobskillz@OswardMussa Unahisi kutokana na itikadi za vyama UVCCM wanaweza kukaa meza moja na BAVICHA wakazungumza au kuteta jambo? Misingi iliyowekwa nikama kuwa wa mwelekeo flani ni uadui kwa mwenzio hili nalo ni tatizo lingine
@HildaNewton21 Kiukweli ukifatilia kwa jicho la tatu hakuna kesi hapo ila inaitwa funika kombe mwanaharamu apite(uchaguzi upite DCI aseme hana nia ya kuendelea na kesi hii)
TANZANIA TANZANIA TANZANIA NCHI YANGU.
Ni kosa gani kubwa mtu akitenda yapaswa auwawe kinyama, mbona magerezani wapo wafungwa walioua binadamu wenzetu na hawakutendwa ubaya kiasi hiki.