Otieno Yoooo!!
Mabala the farmer
Hawa the bus driver
Three suitors one husband
Takadini
Ngoswe kipenzi kitovu Cha uzembe
.. ukizembea lazima uwe mhusika mmoja wapo humoโ๏ธ
ogopa Sana kitu chenye majina tofauti tofauti,Ni ngumu kukipata na kinahitaji utulivu Sana kukaa nacho na kinaua, kinauzi , kina majuto, be careful.mfano pesa,mtonyo, Mara hela, kibunda, money, shilling.