"Kwa mujimu wa maadili ya uchaguzi, kama kuna malalamiko dhidi yangu, malalamiko hayo ya maandishi yanatakiwa kuletwa kwangu, mimi ndie mlalamikiwa, kwa hiyo mimi ndie natakiwa niletewe taarifa yoyote ya malalamiko hayo,mimi ndie mgombea,mimi ndie niliyesaini maadili." Lissu
1/2