@Tweener003 Inawezekana swali lako zuri kwa upande wako ila halina maaana yyote na halibadilishi lolote hata kama ukijibiwa ni vyema tu kuuliza ambayo yanakuhusu na yenye faida kwenye maisha yako.
@godbless_lema Katika nchi rahisi zaidi kuongoza ktk bara la afrika ni TANZANIA. Viongozi wa Tz hawapati changamoto yoyote kiutendaji kwasababu wanaowaongoza wengi wao hawajitambui.
@HusseinBashe Hongera sana Mh. Waziri na team yako naamini wako wengi nyuma yako. Jitihada zako za dhati zilianza kuonesha hata bungeni miaka namna ganj unavyochangia hoja katiki kukuza kilimo hapa nchi, ukawa naibu na hadi uwaziri na kazi inaonekana.
@jemedarisaid Tatizo lako unatanguliza hisia badala ya akili, kwenye matumiza ya akili usitangulize hisia, halafu unakaa kwenye redio unasema na wewe umecheza mpira. Umejifunza nini kwenye mpira!!!
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Ibwe kaulizwa kuhusu refa ameogopa hata kuongea !!! Kama ma refa hawatakiwi kukosolewa na wamewekewa kinga kiasi hicho basi tusitegemee ubora wa waamuzi wetu katika ligi kuu utakuwa, tutaendelea kuwa na marefa wa hovyo tu.
@nulphin@chiefodemba Jitahidi uwe na utu wa kupongeza binadam mwenzio akifanya vizuri, hujui amepitia changamoto gani hadi amefika hapo, Punguza kutumia hisia tumia akili zaidi, hata waandikishi wakubwa huwa wanafanya kama chief alivyofanya Kaka hiyo ni taaluma iheshimu pia kosoa kwa adabu
@JMakamba Kwa Tanzania ni sehem nyingi hawako vizuri kwenye barabara hasa majimbo yalipo vijijini nafikiri kuna haja ya mpango mkakati ufanyike kama taifa tusitegemee saana wabunge vijijin ndio kwenye idadi ya watu wengi zaidi na ndio kwenye mazao hvyo basi huduma bora zinahitajika.