@Syongajr2@Ujuguhapa Kwan chama ulijulikana baada ya game ngap huyo Jana ni game ya 4 na hakuna jipya
Simba day
Simba vs yanga ngap ya jamii
Simba vs coustal
Simba vs tabora united game 4 bado mchezaji hujaonesha uwezo mwangalie Debora game ya kwanza TU alionesha ujuzi wake
JAMHURI YA watu wa TWITA mmejionea wenyewe kuwa WASANII na watu MASHUHURI wengi huwa HAWAPO pamoja na sisi kweny SHIDA zetu kubwa zaidi tukiwaomba MSAADA hata wa RT wanatuona kama VIKATUNI.
Ila kweny SHIDA zao na KAZI zao SISI ndo tunakuwa MSTARI wa MBELE.
TUACHE SHOBO KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE.
RT ujumbe ufike kule BACK BENCHA.🤝
@Sirajitz1 Kuna vitu umechanganya au umekosea kuandika.. Inatakiwa kusomeka hivi
Pichani ni mchungaji Tony Kapola akiwa na mkewe wakikagua eneo la Biashara yao
Mke amevaa taiti anazunguka nae eneo linaloandaliwa kwa ajili ya Biashara yao