π¨β€οΈπ€ BREAKING: Eberechi Eze to Arsenal, here we go! Verbal agreement in place between all parties.
Crystal Palace to receive package in excess of Β£60m as Eze preferred #AFC over Spurs.
Arsenal win race over Tottenham, been in advanced talks for days but never sealed.
Let's #PrayForKariakoo πππ€²
Mwenyezi Mungu awarehemu wale waliotangulia na kuwapa nguvu wale walio hai chini ya vifusi wakipigania hatma ya uhai wao.
Kifo ni fumbo ambacho Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayejua!.
Formula ya maisha yangu ipo hivi!
-Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu
-Naepuka hasira kwa gharama yoyote
-Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka
-Sijiwekei matarajio makubwa
-Sina marafiki (Nina watu wakaribu)
-Sikai na chuki dhidi ya mtu
-Kwangu pesa ni baada ya utu.