The #1 Morning Show experience on Radio🇹🇿- Big City Breakfast 🥣 📻 Tune - Kuanzia saa 12 hadi saa 3 Asubuhi Jumatatu hadi Ijumaa na Bobby, Evans and Chris🙌
Katika #Motisha ya leo ndani ya Big City Breakfast ya @mjinifm tumekukumbusha kuwa Usikate tamaa wala kuacha kufanya tena kwani pindi unapo jaribu mara nyingi wazo lako ndivyo inapokuwa rahisi kufanikiwa.
-
@evansbukuku@bobbymongi@clugoe @BigCityBreakfast
-
Asubuhi ya leo ndani ya BIG CITY BREAKFAST ya Mjini FM tunapenda kusikia kutoka kwako
Je Unapenda nini kiwe kinazungumza na kipi kisizungumzwe na redio na maoni yako yatasomwa hewani
Cc @evansbukuku@bobbymongi@clugoe@mjinifm