Katika #Motisha ya leo, tumekuelezea kuwa ubora wa vitu maishani huja na muda hivyo, kuwa na subira. Na vitu vibaya maishani huja kwa pupa hivyo, kaa chonjo. Pia, maamuzi bora maishani hutokana na akili iliyotulia hivyo, tafuta amani.
Cc @evansbukuku@bobbymongi@clugoe@mjinifm
Katika #Motisha ya leo hapa @mjinifm tumekuelezea kuwa Badala ya kukatishwa tamaa, ruhusu changamoto zako kuwa chachu ya maendeleo yako!!. Video kamili inapatikana kwenye youtube channel yetu ya @mjinifm
Show Hosted by:
@evansbukuku@bobbymongi@clugoe@mjinifm
Ndani ya #MuhengaHitsSong tumekukumbusha kibao kiitwacho "Tell Me If You Want Me To" kutoka kundi la Groove Theory mwaka 1995. Ni hadithi nzuri ya jinsi wawili hawa walivyopata nafasi ya kuungana na kuunda mafanikio makubwa.
Hosted by:
@evansbukuku@bobbymongi@clugoe@mjinifm
Katika #Motisha ya leo hapa @mjinifm tumekuelezea kuwa namna unavyotazama jambo ndivyo unavyoweza kumumfamya mtu mwingine aone kama wewe!!
Sikiliza video kamili kwenye youtube channel yetu ya @mjinifm
Hosted by:
@evansbukuku@bobbymongi@clugoe@mjinifm
Kutoka mwaka 1998, muhenga hit song ya leo inatoka kwa Mheshimiwa, Joseph Leonard Haule aka Professor Jay akiwakilisha, HARD BLASTERZ CREW na hii ni CHEMSHA BONGO!
Hosted by:
@evansbukuku@bobbymongi@clugoe@mjinifm