Kwa sasa tunaona mengi sana, tunatamani mengi sana, na bila kujua tunaanza kuingiza maisha ya watu wengine kwenye maisha yetu. Tunajilinganisha, tunatamani walichonacho, na mwisho tunajitengenezea emotional conflicts ambazo zisingekuwepo kama tungejifunza kuishi maisha yetu.
Usiruhusu watu wabaya wakufanye uwe mtu mbaya zaidi yao. Dumisha uadilifu wako, wema wako na mtendee kila mtu kama MUNGU anavyotaka. Ishi kwa unyenyekevu, heshimu kila mtu na maisha yako yawe mfano wa kuigwa na yasimuliwe kwa vizazi vijavyo.
Haijalishi umepitia nyakati ngumu kiasi gani maishani, bado unaweza kuituliza tena akili yako, kujifunza kutokana na makosa yako ya zamani, kuanza upya mapambano, kujenga maisha bora na kufanikiwa. Hili linawezekana kwa asilimia 100%. Kikubwa ni uhai, afya bora na kudra za Mungu.
โThere will come a time when your tears will fall, not because of your troubles, but because God has answered your prayers.โ
โ ๐ง๐ ๐ก๐ ๐ช๐ช๐ด๐ช ๐ค:๐ฅ
Mwenyezi Mungu, ninapopitia mabadiliko katika maisha yangu, nisaidie nisipoteze imani.
Nikumbushe kwamba fadhili zako haziondoki.
Nipe amani ninapokosa majibu na nguvu ya kuendelea kukutegemea katika kila msimu.
Amina ๐๐ผ
Ee MUNGU siku nikiwa na nafasi ya maamuzi usiache kunivisha vazi la Unyenyekevu na hofu yako. Nijaalie niwe mtulivu na msikivu hasa kwa wale wasiokubaliana nami na niongoze kwa maono makubwa. Nifanye maamuzi kwa kuvaa viatu vya hali halisi ya maisha ya wale ninaowaongoza.
Almighty. Calm our troubled hearts. Let peace and tranquility reign once again. Thereโs so much noise and confusion around. Itโs easy to be distracted and lose focus. Many useless things demand our attention. Guide us. Keep us firm in faith; always close to You. Aameen.
Njia uliyoifikiria inaweza isiwe njia bora zaidi.
Kumtegemea Mungu kunamaanisha kuwa tayari kusema:
โMungu, huu ndio mpango wangu, lakini ikiwa una njia bora, uniongoze.โ