Wakati Tunaelekea kuanza mashindano ya Kombe la Dunia leo.
Timu zangu pendwa:
1. BRAZIL
2. ARGENTINA
3. GHANA
4. SENEGAL.
Hate Watch (Roho mbaya).
1. PORTUGAL
2. ENGLAND
@INFLUENCERjr Ahaaa kumbe familia.
Nikipata wahivi watano tunaunda group la Hatewatch na Roho mbaya.
Manyumbu na wazee wa 1000goals lazima walale na Viatu tena mwaka huu.
😂😂😂
@cleansheet_1 Nyie ni walewale wazee wa 1000goals.
Argentina Imecheza na Australia, Netherlands, Croatia na France kwenye hatua za mtoano. Amecheza mikwaju ya Penalty against Netherlands na France. Na zote zilikua game tight kwelikweli. Anyway Tusubilie michuano ianze.