Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya…….
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
Saleh Khamis Baseleman, maarufu kwa jina la Mbwiga, anayedaiwa kuwa kinara wa mtandao wa kimataifa wa usafirishaji na usambazaji wa DAWA za kulevya, amekamatwa nchini Kenya.
Ukamatwaji wake ni sehemu ya operesheni ya kimataifa iliyofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya nchi husika, katika juhudi za kudhibiti mitandao ya uhalifu wa dawa za kulevya.
Mauzinde amemwonya Diwani wa Kariakoo, Haji Manara, dhidi ya kuendelea kuzungumzia sakata linaloendelea kujadiliwa mitandaoni, siku moja baada ya Manara kutoa kauli ya kupinga matendo aliyoyataja kuwa ni kinyume cha maadili.
Mauzinde amemtaka Manara kujikita katika majukumu yake na kuacha kuingilia mambo yanayomhusu yeye na wenzake, akionya kuwa akiendelea kuzungumzia suala hilo, naye ataanza kuzungumzia mambo yanayomhusu Manara.
Aidha, amevionya vyombo vya habari na wananchi dhidi ya kusambaza taarifa anazodai hazina uthibitisho, akisema atashirikiana na mwanasheria wake kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watakaosambaza madai hayo yasiyothibitishwa.
A criminal, a gang leader who used to mrurder ploice offivers and drnk their biood☠️☠️
Remember this guys Tony Kasanga?
He was one of the most feared goon from Gaza Gang.
Find out how he was removed, story time by @omwamiMj 👊