@Elsukay0 Unakua unaingiliwa kinyume na maumbia na popo bawa, so ili usije ukanyegeka wewe anakujaza hisia kubanwa au mateso fulan hivi mara nyingi ili usielewe kusudio lake hukufanya uhisi umelala na mgongo,ila kiukweli unakua umepigishwa magoti huku yeye akiburudika kwenye nyashi yako ,
@JMPurusa@zoetjesheeftX Wanawake wasomi kuwaowa ni kutafuta matatizo ya baadae , wanawake hawa ni gold digger anakubali kuolewa na mwanaume mwenye mafanikio hata kama hampendi lengo aje wagawane mali alizotafuta mwingine kwa tabu pekee yake,
@ikulumawasliano Alafu Serikal isitengeneze wajinga katika jamii, alafu ikategemea kupata kodi , hawa wajinga ndio watakua walinzi wao, watakua na watoto wao, wataongoza vyombo vyao. Kwa kifupi watangania ni mazombie mapole na masafi..
@ikulumawasliano Na pia chama cha mapinduzi kiache umavi wa kusifia na kuunga mkono kila jambo ,nchi inaharibika na kutoka kwenye misingi yake, chama kilikua na viongozi makini lakin kwasasa kina mavuvuzela ya hovyo kabisa,
@ikulumawasliano Alafu serikal iache ujinga wa kizeee, kutegemea bodaboda,mama ntilie, machinga hawa watu hawawezi kulijenga hili taifa kamwe, serikal wapeni support matajir na makampuni makubwa ,ili waweze kulipa kodi stahiki kwa ujenzi wa taifa, hata watengeneza sabuni za buku hawaezi
@ikulumawasliano Punguze umri wa kustaafu kazi atlist iwe miaka 55, ili muweze kuingiza mawazo mapya, haya mawazo ya wazee hayaendani na nyakit hizi,. Ruhusuni ubunifu kiteknolojia hasa drones,na vyombo vya motor , mtapo waruhusu wakamodify , wataanza kuunda yao
@Sisimizi3 Uingereza Ndio wanawatawala nyie kunguni wa ccm, mkitaka kujua kuwa huyo ni mjumbe wa mfalme wa uingereza ,mtekeni , Mlipewa uhuru wa mezani ,mnajua mikataba gani mlisaini na mwingereza ??
@Sisimizi3@HKigwangalla Sawa hata kama mnakipenda chama cha mapinduzi ,na mnampenda mama samia , hebu tuangalie Taifa letu ambalo ni bora kuliko chama , tukiendekeza mambo ya kipuuzi namna hii na kuruhusu wasionafikra pana kufanya maamuzi ya taifa , kuna siku tutatawaliwa kiongozi mjinga
@YerickoNyerereT Uliondoka wewe na nzi wenzio ,still tupo chadema , nyie ondokeni lakin truth is from our heart even you , dira ya kazi gani wakat tunajua tunapoenda , relax and let rebuild our nation , ufisad umefanyika mmekaa kimya , walioweza kusema ni chadema