@LifeofSteph_1@sahala1942 Shida sio hizo cc 4000 mchawi ni petrol lingekua diesel ndio mbaya daladala si zina engine ya 1hz nayo si cc buku nne na lakini zinapiga kazi fresh kwa sababu ni diesel
Tunaendelea kuboresha huduma zetu siku mpaka siku.
Msichoke kutuunga mkono hata pale tunapoteleza.
Tuamini, Tutume, na tutafanya kadri ya uwezo wetu.
Asanteni.
0762344677
@LifeOfJuma@mkemi4mkUu Hawakatazi wala nini nilipanda ester na tilisho kmkk hao wazee wa kichaga wanakunywa konyagi na hilo lichupa na wanaongea kama redio
@almasoud07@BracuszCadabra Kikosi cha kawaida MNO kwa level za simba hatuna kwanza full backs atleast chilambo ambae akiwa free ndio mzuri hatuna midfield ya kueleweka hapo hapo hatuna namba 10 wlaa straika sasa timu gani hii
@dancho_2004@BracuszCadabra Kaletso hakunamo kitu mule kudadeq hi timu hakuna kitu kabisa basi tu tunajipa matumaini siku oura asipochez na libase hyo game ata na jkt simba anakufa na anapigiwa pira jingi