Ukweli Mchungu
-Marekebisho ya Uwanja wa mkapa yamefikia 85%
-Kuna viti ziaidi ya 20,000 bado havijawekwa (ujenzi unaendelea)
-Michezo hii (confederation) ni michezo ya CAF
-CAF ndio wanaamua mchezo ufanyike lini na wapi kwa sababu maalumu na zinazo takikana
-Semi final ilipelekwa Zanzibar sababu CAF walijiridhisha na kuamuru mchezo uende Amani Stadium same to barua ya Juzi
-Mpaka sasa Posibilty za mchezo wa pili kuchezwa Mkapa ni ndogo sana na baadhi ya watu wanajua ila inachezwa siasa tu za kuwapooza mashabiki
-Mkapa sio Uwanja wa Simba na hata kuilamu serikali sometimes haikai sawa japo at some point wanastahili lawama
-Mchezo hauwezi kuahirishwa sababu chain yake ni kubwa kuanzia wadau, wadhamini calenda ya CAF na FIFA
-Kwakua uwanja upo(Amani) na Japokua kwa CAF Zanzibar ni kama nchi ila Zanzibar pia inahesabika kama part ya Tanzania so Simba ataendelea kua mwenyeji hata akichezea Zanzibar
Huu ndio Uhalisia, ishu ya kuukubali au kuukataa hilo ni chaguo lako but kama unataka kuangalia mchezo huu live basi andaa safari ya Zanzibar.
Prezenta Noah ๐ถ๐พโโ๏ธ
@INFLUENCERjr sijajua nini tatizo na huyo dada ila dah, yani viongozi wawe na mkataba wa miaka 2 wa mchezaji af useme wapate presha ya maneno ya mkopo, kingine kuhusu barua kuwa na tarehe 14 na kufikia viongozi tarehe 15 ni kawaida...ila ndo wachambuzi.
@CharlesChelsea_ tarehe 8 si uwaulize waliokuwa wanauza, simba sc hata hawakuongelea hiyo mechi zaidi ya kusema hawapeleki team uwanjani...hii wamewaambia mashabiki wao wanunue, wewe kununua ni shobo zako kaka.
@IamJptboi98 @braysonaman@BillyTronix1 uwanja unamilikiwa na serikali ya mapinduzi zanzibar na sio shirikisho la mpira, serikali ya mapinduzi ndiyo wana amri na ndiyo maana kuna gharama za kukodi uwanja na inalipwa serikali...usiendekeze utopolo wako
This is the current state of the Benjamin Mkapa Stadium. ๐๏ธ๐น๐ฟ
It will be shocking if this venue doesnโt host the 2nd leg of the Confederation Cup final.
#cafccwithmicky#nguvumoja ๐ฆ
@SteveMchelsea21 yule jamaa ni utopolo, uwana habari wake anautumia kukanusha mazuri ya simba sc na kupaisha mabaya huku uto akiwasema na kuwaandika kwa mazuri tu.
Kumbe wakina AOHA wamesajiliwa na SAMIA na hatujui.
UCHAWA huu ni wa kiwangu cha juu sana, hawa watu wakisimama Bungeni dakika 3 za kwanza ni kumwaga PONGEZI kama WAPUMBAVU.
SHAME.๐ฎ