Siku hii iwakumbushe kuwa kesho mbali
Iwakumbushe vina maana pesa, mjengo mkali
Je? Urembo na pesa nyingi ni kiburi cha hii pumzi
PUMZI ambayo ni Temporary π
#DZSTVN@dizastavina
NAMNA YA KUANDIKA PROJECT/MRADI
Imelenga sana mashirika na wajasiriamali wadogo wadogo kwenye kuomba ufadhili wa pesa.
Tumia Google kwaajili ya kupata taarifa mbalimbali,kuandika na kupanga ratiba tumia notion,Google Docs na Ms word ,kuandaa presentation tumia Canva..