Ukiacha ukatili wa Magufuli kuuwa, kuteka na kufunga jela wapinzani wake kwa sababu ya uoga wa kukosolewa na kushindana lakini alikuwa mzalendo. Fikiria mpaka Kibaka Ole Sabaya anahoji kwani Magufuli alikuwa analeta mvua? Kwanini wakati wake kulikuwa hakuna mgao wa umeme?
Harakati za UKOMBOZI wa Pili wa Jamhuri yetu zimeanza kitambo. Mmoja wa wanaharakati ni mwanamziki Ramidy. Sikiliza ujumbe wake👇 na toa maoni yako kuhusu ujumbe wake huo kuhusu maisha yetu mitaani na vijijini leo. Je anachokisema ni kweli?
Waziri wa Afya, @ummymwalimu habari za jioni!
Wanachama wa @nhiftz, tunaomba ufafanuzi; kwa nini wizara ya Afya ilitumia zaidi ya Sh30 bilioni za wanachama wa NHIF kununua mashine za gharama za kuchuja na kusafisha damu (dialysis) zaidi ya 300 na kuzifunga katika hospitali za rufaa za mkoa?
Fedha hizo zimetolewa katika mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) na hazitarejeshwa kwa sababu wizara ya afya imezifanyia matumizi nje ya utaratibu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF). Pesa hizo za wanachama hazijarejeshwa.
Na kama tatizo lilikuwa uhitaji wa mashine za gharama za kuchuja na kusafisha damu (dialysis), July 2023 kampuni kunwa ya shughuli hizo, NephroPlus ya Hyderabad, India iliwezesha huduma za dialysis nchini kupatikana kwa gharama nafuu.
Fedha za wanachama wa NHIF kazi yake siyo kununua vifaa tiba kwa niaba ya serikali. Ndiyo. Wizara ingelitaka kununua mngelitumia bajeti ya wizara na sio fedha zetu wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Kitendo hiki kinasababisha kushuka kwa mtaji wa NHIF na kuingia hasara kitendo kinachosababisha NHIF kushindwa kulipia matibabu ya wanachama na badala ya waziri kuwajibina unaamua kufuta #TotoAfyaKadi. Watoto wetu wakatibiwe India kama wako?
Rudisheni fedha hizi HARAKA zaidi ya Sh30 bilioni katika mfuko wa taifa wa bima ya taifa (NHIF) ili watoto wetu wapate matibabu kupitia #TotoAfyaKadi ambayo waziri umeona ndiyo kitu kisababisha hasara katika mfuko.
MMM, Mtikila. Nalipanda jukwaa la manufaa safarini Morogoro.
Bishop Desmond Tutu aliwahi kusema “TEMBO AKIMKANYAGA PANYA HAUWEZI KUMWAMBIA PANYA ALIE KISTAARABU.”
Vivyo hivyo kwa watawala, hamuwezi kuukanyaga UMMA na kuusababishia maumivu MAKALI kisha mkauambia UMMA “LIENI KISTAARABU” au “LALAMIKENI KWA MAADILI.”
Umma utaexpress maumivu yake vile unavyoona wenyewe. Kama hamtaki kusikia kilio cha UMMA, msiukanyage; it’s that simple.
Jeshi la Polisi mmemkamata MWIMBAJI & PRODUCER wake! Naambiwa mmebeba mpaka vifaa vya Studio! Sasa vifaa vimewafanya nini? 😂 Ila ninyi majamaa mmekosa kazi ya kufanya! 😀 Kwani uongo Serikali haituoni sisi NYANI? 😅
Kwani mie ndie niliyowafukuza WaMasai Ngorongoro?
Hili swali muulize huyo aliyediriki kuwafukuza Wamasai.
Atupe sote sababu zake. Maana hata mie ningependa kusikia LOGIC yake.