@NjiwaFLow Swali jepesi Mr Njiwa,hebu jiulize hivi kwaann nchi ikishindwa kufanya vizuri kimaendeleo wakati rasilimali tunazo tunataka viongozi waliopo madarakani waondoke waje wengine,kwahyo jibu ni kwamba fikra zake zimeshindwa kutupa tunacho stahili na yeye ndio raisi wa wanachama
@ReganSifael@Mzeewajambia Umeelewa hii paragraph?
Ali Kamwe anasema viongozi wa Bodi wamemtaja leo Kwenye Kikao lakini hakuna ambae ana ujasiri Kumtaja jina hadharani.Why?
@earadiofm@YustaMsowoya Kuku saidia sio lazima,kumsomesha kumlea na kumuongoza ni jukumu lako ila kukusaidia ni hisani kwasababu hata yeye atakuwa na watoto wake waki mtegemea kwa kila kitu,hivyo jipange mapema kwaajili ya kesho yako kabla ya kusubiria msaada wa mtoto wako
@moodewji Mungu akuongezee tajiri
Sisi tuna jishughulisha na utengenezaji na uuzaji paving block za kisasa
Mafanikio tuliyopata kwenye uwekezaji ni kukuza wigo wa wateja hali iliyo pelekea changamoto ya uzalishaji kuonekana mdogo
Kwahyo changamoto kubwa ni kupata mashine za kisasa